Wahudumu Sabilo(ZACI) Dispensary ni shida!!

Wahudumu Sabilo(ZACI) Dispensary ni shida!!

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Zahanati ya ZACI ambayo inajulikana kwa jina la Sabilo inasifika kwa huduma bora Mkoani Manyara. Sifa hizo zinaharibiwa na wahudumu wa Mapokezi ambao wanatoa lugha chafu kwa wagonjwa na kuwabagua kwa makabila yao au kufahamiana. Wahudumu hao ambao ambao wote ni kabila la Iraqw wakishasalimiwa saitaa basi mtu huyo atahudumiwa kwanza.

Wito kwa uongozi wa Sabilo, waelekezeni wahudumu wenu hasa mapokezi wahudumie bila upendeleo wala lugha chafu. Wawe wepesi kutoa huduma maana wanakuwa taratibu sana.
 
Hats Mimi kuna siku nilienda hapo walinikera sana. Kwa kifupi hawajui Sawasawa Kazi yao.

Madokta wapo powa.
 
Kwani msdaktari co wahudumu....?au mnamaanisha cheo kinachoitwa wahudumu kinawahusu kina nani?????
 
vipi wanavaa vile vimini vya manesi? mana hivyo vimini mm huwa lazima nidise hata kama nina malaria kumi mwilini
 
Mkuu wa hiyo dispensary mlishamfikishia malalamiko? Au ndio yale mambo ya unafiki?
 
Back
Top Bottom