Hakuna sababu ya kukebehi watu kwa kutoandamana Leo. Tumuombe mungu hali iendelee kuwa shwari.
Nchi ni yetu sote kikubwa tukae pamoja kumaliza kero zetu na tuendelee kujenga nchi yetu
Nilichogundua huyu baba anatamani akamatwe ili apate kiki zaidi.. anajioma kama mpango wake wa kubwabwaja hauleti impact aliyoitegemea na mambo yanazidi kusonga sasa anajitokeza ili angalau amake headlines
Dear Jamhuri polepole ni wa kupuuzwa wala asitafutwe aendelee na press zake huku siku...
Ina kimvuli kizuti lakini jiandae nakufagia maua na hayo majani unfortunately maua hupukutika msimu wa mvua.
Pia mti huu una pendwa sana na wadudu sisimizi wakubwa hivi weusi na wale ants wakubwa.
Maua yake wala majani havitoi harufu kali ipo moderate tu na hadi uyasogelee sana ndo utasikia...
Hapa kikwete aliombwa ushauri kama mzee wa chama ambapo aliulizwa kupitisha jina kwa siku hiyo ilikuwa sawa? Ndo hapo akakumbushia 2005 jinsi alivyoteuliwa yeye
Hivi mtu ahangaike kusoma miaka 17+ halafu umkateze kufanya kazi? Ukimkuta mwanamke amesoma kubalianeni kuhusu mambo ya ajira mapema kabla ya kuoana. Vinginevyo hata mimi ningechagua kazi over hiyo ndoa +utakuwa ulikuwa unamnyanyasa.
Kama hutaki mke atakayeajiriwa chagua ambao hawajasoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.