Jiheshimu kijana! Kama umeamua kuachana na mpenzi wako wa kwanza kata hata mawasiliano na hao wazazi maana watakuja kukufanyia hata maarifa ili uwe na mdogo mtu kwa ajili ya pesa tuu na sio mapenzi. Achana nao.
Nadhani ingekuwa jambo la busara kama ungeenda Chibuku ukaomba kuonana na afisa mahusiano akupe walau email yake tuu kipindi yuko hapo inawezekana ikawa nipahal pakuanzia. Ila ujipange sawasawa kujibu maswali maana inaweza kuwa viu pia kutoa awani za watu siunajua mjini matapeli wengi
Be careful ndugu asije akawa anakwenda kusema kwa huyo boss unachomshauri. Afterall 35 years ni mtu mzima kabisa akuheshimu na mwambie atumie akili zake mwenyewe. Miaka yote huko nyuma alikuwa anaseek advice kwa nani?
Huu ni ukatili wa hali ya juu na huyo mwanaume ni muuaji asijifanye na hizo zawadi zake kumdanganya mkewe amuone kuwa ni mtu mzuri sana. Kama alishindwa kununua ubuyu hizo zingine analeta kwa mapenzi yepi? Achukuliwe hatua huyo kwani criminal offences has no limitation of time.
Kuna Christian bookshop nyingine nzuri tuu na inavitabu vingi vya waandishi wakongwe na wapya iko Survey mbele kidogo na apartments za mlimani city inaitwa CTC kama sijakosea. Ni maduka mapya kiasi yanapakana na njia ya kwenda Brajecks
Watoto ni majaliwa na Mungu ndie anayetoa. Kama hupati mtoto na unajua kabisa hujawai kutoa mimba upashwi kuwa na mashaka sana na maangaiko yakutoka nje ya ndoa maana unaweza kuja kupata mtoto ndani ya ndoa baadae. Na kwawanaume muwe tayari pia kuwa bennet na wake zenu kwaajili ya matibabu maana...
Ndugu! Mungu akubariki sana yaani umeipendezesha siku yangu kuliko ambavyo ungetegemea. Picha ni nzuri sana na Mungu hakika ametubariki Tanzania tuna rasilimali nzuri sana. Ahsante sana tuwekee picha zaidi tufurahi zaidi.
Na wewe nawe kwani ni lazima kumpa lifti? Kinachokupeleka getini kwake asubui asubui ni nini kama na wewe sio unaendekeza kumpa lifti? Umeshalea matatizo tokea mwanzo ni bora umuambie samahani naona sitoweza kukupa lifti tena nina ratiba za kifamilia.
Pole sana dada! Huyo anauhusiano mpya kabisaa na amechanganyikiwa. Kuwa mpole na chamuhimu kusali maana hali hiyo siyo njema mpaka analitamka wazi hivyo. Mungu yupo mwenye nguvu na mamlaka anauwezo wa kila jambo hata kugeuza usemi wake na kurudia ndoa yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.