Christian bookshop at dar

Christian bookshop at dar

MAENE

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
116
Reaction score
22
Salaam wadau,

1)Kwa anayejua duka la vitabu vya kikristo lililokuwa pale mkwepu street opposite na club bilicana anijuze kwa sasa wamehamia wapi?nilienda nikaambiwa wamehama,wenyeji hawakujua wameamia wapi.
2)Pia christianbookshop yoyote iliyopo Dar.
Asanteni.
 
Mkuu nenda mikocheni pale maeneo ya kwa warioba barabara inayoenda kawe ndo kuna duka la vitabu. Mi nilienda kununua kitabu cha nyimbo standard.
 
Kuna Christian bookshop nyingine nzuri tuu na inavitabu vingi vya waandishi wakongwe na wapya iko Survey mbele kidogo na apartments za mlimani city inaitwa CTC kama sijakosea. Ni maduka mapya kiasi yanapakana na njia ya kwenda Brajecks
 
Salaam wadau,

1)Kwa anayejua duka la vitabu vya kikristo lililokuwa pale mkwepu street opposite na club bilicana anijuze kwa sasa wamehamia wapi?nilienda nikaambiwa wamehama,wenyeji hawakujua wameamia wapi.
2)Pia christianbookshop yoyote iliyopo Dar.
Asanteni.

Paulines wamehama???
 
Sipafahamu, paulines ndo wapi?
 
Salaam wadau,

1)Kwa anayejua duka la vitabu vya kikristo lililokuwa pale mkwepu street opposite na club bilicana anijuze kwa sasa wamehamia wapi?nilienda nikaambiwa wamehama,wenyeji hawakujua wameamia wapi.
2)Pia christianbookshop yoyote iliyopo Dar.
Asanteni.

Go posta NHC House (mezzanine floor), there is a shop with very nice spiritual and inspirationsl boooks at reasonable prices
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom