Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
hata kama nikikubali au nikikataa,siwezi kufanya hivyo mbele yake.
Ulichokifanya ndicho hasa kila mwana mme mwenye akili timamu anastahili kukifanya!
No matter what;ni utovu mkubwa wa nidhamu kutongoza mbele ya wakwe zako! Anayetongoza mbele za wakwe zake without any reasonable doubt his upstairs is not normal!Huyo kwetu tunamuita ana "kigune"