Recent content by Nebisirwe

  1. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Ni kwa neema tu

    MUngu anaweza yote ambayoa kili zetu zimefikia mwisho
  2. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Vyakula tunavyokula mara kwa mara Tanzania

    Ndugu Wapendwa wasalaam, Naomba nichukue nafasi yenu muda huu niombe msaada wenu wenye kufahamu katika maisha ya kila siku niombe mwana JF yeyote anisaidie kunifahamisha vyakula ambavyo naweza kula kwa siku walau bila kugusa "VYAKULA VYENYE WANGA" Niombe sana msaada huo niombe uzingatie maisha...
  3. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Kutumia maji ya limao, Tangawizi na asali kila asubuhi inasaidia kupunguza kitambi?

    Asante saana nitafuatilia hatua ya kwanza
  4. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Kutumia maji ya limao, Tangawizi na asali kila asubuhi inasaidia kupunguza kitambi?

    asanteni sana wapendwa nitafuatilia
  5. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Kutumia maji ya limao, Tangawizi na asali kila asubuhi inasaidia kupunguza kitambi?

    Wanajamii nimeona mara kwa mara habari ya kupunguza kitambi na rehemu mwilini watu wakisema ni kunywa maji ya limao, tangawizi na asali naomba kujua ni kwa kiasi gani na kwa muda gani wa kutumia hii dose kupungusa rehemu mwilini?
  6. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Amani ya Mungu ni Amani izidiyo amani zoote dunini, Mungu Ibariki Tanzania maisha yaendelee baada ya tarehe 25/10/2015
  7. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

    Kwanini ukuwahusisha police?
  8. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Biashara chafu: Mwanafunzi Chuo Kikuu alazimishwa kurekodi picha za ngono

    Pole sana mdogo wangu
  9. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Kudumisha ndoa

    tuendelee kuombea ndoa zetu Mungu aziponyee
  10. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kufanya mapenzi

    kafunge ndoa hacha kuzini mambo yatakuwa sawa unaowaendea sio wako
  11. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume na mwanamke bora

    Asante saana kwa shule hii ubarikiwe sana
  12. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Aina ya Wanawake wanaopendwa na wanaume Duniani!

    Kama umepata ubavu haswaaa hakuna taabu yote yanawezekana
  13. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Vyombo vya ulinzi na usalama tusije kumbuka shuka kunakucha na mzalau mwiba....... take care on our beloved leaders may the living GOD guide you Amen
  14. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

    Kama Usipokuwa mwaminifu kabla ya kuingia kwenye ndoa ujue ukiingia ndani ya ndoa unapata zerooooo kwa kila jamboo vumilia uone utamu wake milele Take care vijana
  15. Nebisirwe

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu.

    Miaka miwili ni muafaka ila wakwangu nililala nao kwenye kitanda chao ila chumba kimoja hadi miaka minne ndo nikwatenga peke yao tukaanza kula maisha.
Back
Top Bottom