gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
kama bikra, mi nife leo kabla ya saa moja jion
labda ubikra wa kuazima manina wanajishaua tu
kama bikra, mi nife leo kabla ya saa moja jion
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.
Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.
Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.
Naombeni msaada na ushauri wenu.

Ni aina fulani ya ugonjwa wa sexphobia unampenda mtu kupitiliza unamuona ni so special kiasi kwamba hiyo hali inakuja kuathiri mpaka hisia zako hivyo unapokuwa naye unapata panic fulani ya ndani mpaka unashindwa kufanya lolote
Kama unaweza tumia whysky kidogo itaweka mambo sawa
Nipe no yake nimuulize kama kweli
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.
Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.
Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.
Naombeni msaada na ushauri wenu.
kwenu tabora dawa za nguvu za kiume si zipo mkuu..?? nenda nae pm muongee biashara.. (a joke)
Hahahahah...kumb unatumiaga enhe?
Mi natumia za kike..
nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako
Sure, huitaji kupigwa starter?? Vijana siku hizi umri ukienda kidogo mpaka starter...Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.
Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.
Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.
Naombeni msaada na ushauri wenu.
Ngoja nikujibu Mdogo wangu, kuna kitu kinaitwa over excitation, ni hali ambayo unakuwa umeijenga juu ya huyo dada sana ni kama unataka kumunyesha maajabu ili akupende kwa kupitia sex, hili tatizo huwa linazidi na baadae utashindwa kabisa kwani kila ukikutana naye utajaribu kufuta makosa ya nyuma. pia unapofanya maandalizi makubwa sana kwenye sex huwa halo hiyo hujitokeza, ni vizuri msijiandae sana yaani mnapanga one week before, itokee tuu either mpo room mnaangalia movie na usimwambie kuwa mnakuja kusex, pia hata kama mtakutana guest basi msiende short time, muende mlale na msianze sex kabisa mpaka usiku wa manane tena asikuanze umuanze wewe kwani akikuanza utaanza tena kuwa na over feelings.
Kitu kingine nachokiona, kwanza huyo dada ameshaliona hilo kama tatizo na pia amekujengea mawazo kuwa kama hutamridhisha atakuacha, hilo ni tatizo kubwa na ni kweli mwisho wa siku atakuonyesha dharau na mtaachana.
Ngoja nikupe ushuuda, nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata kademu ka mwaka wa kwanza, sasa kabla hatujafanya sex ikawa kila mara ananisumbua kuwa anataka tufanye, kwa siku anaweza kunitumia SMS hata kumi kuwa mbona simsikilizi, mimi bado sikuwa tayari ila kwa kuwa nilimpenda tukaenda, kufika chumbani akaanza makeke meengi huku akiniharakisha dah kitu kikagoma kusimama, kama dakika tano tuu akaanza ohoo umenipotezea muda wangu, fanya tuondoke au niondoke zangu, au husimamishi dah nikaendelea kushindwa zaidi, akaamka faster akavaa akaondoka kwa hasira, lile tukio lilidumu kichwani kwa zaidi ya miezi mitano kwani mara ya pili hali ilizidi kuwa mbaya zaidi akawa ananiambia niende hospital eti nina tatizo wakati mimi mwenyewe najijua, kweli nilienda, doctor hakuona tatizo ila akaniambia umepata mshtuko na kisaikolojia hauko fit. Siku ziliendelea mpaka nikawa nasahau kidogo kidogo mwisho nikasahau tukaanza kufanya, ila neno moja ambalo sitasahau aliniambia sasa kama huwezi tutazaaje tukioana, huwa linaniuma mpaka Leo, cha ajabu mm nimeoa na ndoa iko strong na yeye ameolewa ila hajazaa mwaka wa nne huu .
So we relax tuu, na usitumie dawa yeyote ile huna tatizo la nguvu za kiume.