Kudumisha ndoa

Kudumisha ndoa

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Wapendwa wa MMU hamjambo natanguliza shukurani kwenu.

Naomba msaada juyahili, coz ilivyo siku hizi ndoa ni kitu cha kupita tu tofauti na zamani.

Kwahiyo ninini cha kufanya na kuzingatia ili wanandoa wadumu milele na ndoa zao?.
 
Wapendwa wa MMU Hamjambo natanguliza shukurani kwenu. Naomba msaada juyahili, coz ilivyosiku hizi ndoa ni kitu cha kupita tu tofauti na zamani. Kwahiyo ninini cha kufanya na kuzingatia ili wanandoa wadumu milele na ndoa zao?.

mkuuu hapo kwenye bold u are wrong..ndoa sio kitu cha kupita ile nadhiri na ahadi..uhuni tu na ulimbukeni wa michepuko ndo unafanya watu waone ndoa ni jambo dogo,..
changuzingatia ni tabia nzuri na hofu ya MUNGU
 
nani amekwambia ndoa ni kitu cha kupita sikuhizi?
 
Hili halina ubishi siku hizi tofauti na zamani, utakuta wazee wa zamani mpaka wanajukuu wanakufa na ndoa zao, hivi sasa si hivyo tunaona ndoa zinavyo sambaratika, na nyingi za kiislaam. Niko sahihi nimeshuhudia nyingi kuvunjika.
 
Leo Tena na Dina Marios......
Hiiii kumbe Dina Marios kashatemana na Leo Tena...!!!!!!!
Basi itakuwa na Gea Habib.......
 
tunajionea live mitaani, utakuta ndoa nyingi cku hizi hazimalizi hata mwaka.

mmh sijui unaishi mtaa gani ila nilipo mimi ndoa zinadumu tu, zilikuepo na bado zinaendelea kuwepo including mine
 
au unaongelea ndoa za wadada na wakaka wa mujini zile siwezi hata kuzihesabia manake wao kila kitu ni maigizo na show off za kijinga
 
Wapendwa wa MMU Hamjambo natanguliza shukurani kwenu. Naomba msaada juyahili, coz ilivyo siku hizi ndoa ni kitu cha kupita tu tofauti na zamani. Kwahiyo ninini cha kufanya na kuzingatia ili wanandoa wadumu milele na ndoa zao?.

Upendo, kuchukuliana, kusamehe na kushukuru hata kama atakuwa amekufanyia jambo dogo ila wewe onyesha unalivalue
 
mmh sijui unaishi mtaa gani ila nilipo mimi ndoa zinadumu tu, zilikuepo na bado zinaendelea kuwepo including mine

fanya utafiti karibia asilimia 85 ya ndoa huvunjika na sio za madada na makaka, hata za wakubwa pia huvunjika. Hili ni janga katika jamii yetu kwa sasa.
 
Ni kawaida ya uongo mwingi baada ya kupigiwa kelele huonekana kama ni kweli eti
 
ni kweli uögo uko wapi sijakuelewa unacho manisha ni nini.
 
Wapendwa wa MMU hamjambo natanguliza shukurani kwenu.

Naomba msaada juyahili, coz ilivyo siku hizi ndoa ni kitu cha kupita tu tofauti na zamani.

Kwahiyo ninini cha kufanya na kuzingatia ili wanandoa wadumu milele na ndoa zao?.

Hakuna atayeishi milele...
 
Back
Top Bottom