Aina ya Wanawake wanaopendwa na wanaume Duniani!

Aina ya Wanawake wanaopendwa na wanaume Duniani!

Hakuna lolote....Wanawake mashankupe ndio wanaopendwa sasa we chunguza....Wale wenye msimamo utakuta wanaishilia tuu kuumizwa na kutendwa wanaonekana km walokole, washamba ......Ukisema enzi za baba zetu na mama zetu ndio walikuwa wanapenda wanawake wa hivyo ila sasa mmmmmhh... dhambi tupu ndio maana hawadumu
Chunguza dunia ya leo
Hakuna kitu kitu kama icho..mfano mdogo tu mimi wasichana nliomaliza nao chuo wale wote waliokuwa wametulia wameolewa na wana watoto..ila masistadu..finger taping, neck bending, eye ball rawling bado wapo..wanakula ujana kwanza..vijana wengi tunakaa kwenye cyccle ya watu wa aina moja..wenye mawazo negative tunayabeba yanaingia kichwani...get out of ur cycle uone maisha tofauti
 
Mmmh wala hakuna fomula ndugu yangu...wenye msimamo wanaonekana wababe basi majanga tu..
Maimamo ni kusimamia malengo yako na mwenzako mfanikiwe...wanawake wengi wanadhani kuwana msimamo ni kuwa argumentative and arrogant..kuwa na msimamo ni kubring stuff on the table ili muweze kufanikiwa ndo msimamo wenyewe huo..
 
Kweli kama ipo ipo tu..kila shetani na mbuyu wake
Hii misemo hii..vitu haviji tu mezani bilamalengo na kufanyia kazi..hata mausiano mazuri lazima uwe na malengo, maombi na kufanyia kazi...ipo ipo tu e ai'nt there
 
mbona tupo wengi!! bahati mbaya hatuonekani. lol
 
Mmmh wala hakuna fomula ndugu yangu...wenye msimamo wanaonekana wababe basi majanga tu..

umeona eeh! wanaume wanaogopa changamoto kutoka kwa wanawake wenye misimamo.
 
Nawale wa umeingiza sh ngapi, wako katika nafasi ipi ya kupendwa na Me duniani.?

yani nakagua like za hii comment... iko poa sana sababu miss chagga dadangu amei like.. sijui wachaga tuko kundi gani maana hapa hatupo..
 
mwenzangu dunia hii mambo yanajiendea endea hakuna utaratibu maalumu wala kanuni

mwanamke wa aina hiyo anaweza pata mshikaji ambaye baadae akaja akamtenda na hapo mcharuko ndipo unaanzia
 
Aisee . . . . .

Kuna post zingine humu zinafurahisha sana!
 
Back
Top Bottom