Vyakula tunavyokula mara kwa mara Tanzania

Nebisirwe

Senior Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
169
Reaction score
20
Ndugu Wapendwa wasalaam, Naomba nichukue nafasi yenu muda huu niombe msaada wenu wenye kufahamu katika maisha ya kila siku niombe mwana JF yeyote anisaidie kunifahamisha vyakula ambavyo naweza kula kwa siku walau bila kugusa "VYAKULA VYENYE WANGA" Niombe sana msaada huo niombe uzingatie maisha ya kawaida. Asanteni
 
7fxb7xoIYT
 
Matunda,Mbogamboga
 
Back
Top Bottom