Kwa sasa vituo vya QT ni vingi sana hasa kama upo Dar unaweza ukatafuta shule nzuri tuu ukaomba taratibu za kujiandikisha then usome miaka miwili ufanye mtihan wa kidato cha nne..
Na kwa kuwa una nia natumain utafaulu vyema tuu
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa una malengo na nia unayo usikatishwe tamaa mapema na watu hasa huku jf. Pia ile kazi kama ukiwa na vigezo ambavyo wanataka utapata.
Kwa hiyo ushauri wangu jaribu kusoma QT then upate cheti cha 4m 4 alafu uende NIT kwa sababu ile koz haichukui muda mrefu sana..So miaka mi3 itakutosha...
polee mkuu ila kuna mazingira mengine inakubidi tuu uwe mpole upate unachotaka kwa maana kuna baadhi ya watoa huduma huwa wanajisahau sana nao pia kuwa kuna leo na kesho yao
Habari zenu wakuu. Matumaini yangu mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku dhidi ya kuepuka umasikini .
Kama tunavyojua katika kupata mafanikio kuna mambo mengi tunayopitia ambayo tunayaita changamoto. Hata hivyo kuna msemo unasema "HUWEZI KUFANIKIWA /KUENDELEA BILA KUEPUKA AU KUACHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.