sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,763
Nyie ni tiGO gani mnayoizungumzia?? Au hamjui kuunga vifurushi?? Sioni mtandao rahisi kama tiGO! Kuna hadi kifurushi za MB za bure kabisa! Kuna watu mnaumia kwa kutojua hata menu za vifurushiadvantage ya voda bundle linajiaccumulate
yani usimaliza ndani ya muda ,unanunua tena kabla
halijaisha, ttcl wao mpaka mda usihe ila wako cheap
sana ukilinganisha na hao mabwege wengine
TIGO sikushauri kukupa mb50 kwa elfu tano
hawaoni aibh yani paap