Your opinions are justified,congratulations for providing good ideas but I guess there is something more than what you have suggested,and I think is not easy to end it just simple like that
Gharama za kumsafirisha raisi ambaye ndiye nchi yenyewe ni kubwa mno we mtoa post kama hujui
Hiyo kama angekuwa Vasco angetumia si chini ya bil 4 kwenda juu ndo maana magu kazipunguza hizo safari zisizokuwa na tija kwa taifa
Shida sio kwenda kuchukua zile element za udikteta za mugabe mtazamo uliopo ni kujifunza zaid kuifanya nchi yako iweze kujitegemea yenyewe pasipo kuingiliwa na watu weupe ama kuomba ombaomba
Kuna kitu zaid naimani wanafahamiana wao kwa wao coz sioni sababu ya kumtimua MTU ghafula hivyo hata mambele mambo hayoko kihivyo kama kushinda ama kushindwa yote heri ukitaka uwe wewe mshindi tu kila siku then utakuwa unashindana na nan sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.