Naomba ziara ya kwanza ya rais wetu mpendwa ya nje ianzie Rwanda na si Ulaya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,056
23,506
Nadhani rais wetu atajifunza mengi zaidi kwa bwana kagame hasa kiushauri.
N.B
*****
Huyu jamaa aliona uozo kwa muda mrefu sana!
Huyu jamaa msingi wake mkubwa ni nchi kujitegemea!
Huyu bwana ni mfuata kanuni (tukiachana na mambo ya katiba zao)
In short wanashabihiana kimtazamo.
 
Haya ni mawazo ya ajabu sana. Acheni kusifia bila sababu wenzenu kana kwamba wamewadi. inferiority complex nalo ni jipu. Hebu tujikomboe kifikra jamani. JPM haitaji kwenda huko kujifunza hayo mkuu. 50 years? Noo hata sisi tunaweza
 
Maisha ya Kagame anayaweza mwenyewe imagine leo Magufuli akatae kuwa na bodyguard, watoto wake anawapeleka shule mwenyewe hakuna cha bus la shule wala derevawa kupeleka watoto shule...Yule jamaa anaenda sokoni mwenyewe kununua nyanya na vitungu akiwa amevaa pensi na cobas ila kwenye mkanda kiunoni amening'iniza bastola kama 4 hivi na is not joking...Ukijaribu anakumaliza...Jamaa ni real dikteta mwenye background ya jeshi, Rwanda ni kosa la jinai kukaa vikundi eti kuongelea serikali mambo ya ajabu hakuna cha kushtakiwa kwa mahakaman ni unapotezwa ghafla tu hutojulikana ulipo na hakuna atakae jaribu kukutafuta...Unadhani Magu ataweza kuexperince hiyo life hata kwa siku 1?
 
Shida sio kwenda kuchukua zile element za udikteta za mugabe mtazamo uliopo ni kujifunza zaid kuifanya nchi yako iweze kujitegemea yenyewe pasipo kuingiliwa na watu weupe ama kuomba ombaomba
 
Maisha ya Kagame anayaweza mwenyewe imagine leo Magufuli akatae kuwa na bodyguard, watoto wake anawapeleka shule mwenyewe hakuna cha bus la shule wala derevawa kupeleka watoto shule...Yule jamaa anaenda sokoni mwenyewe kununua nyanya na vitungu akiwa amevaa pensi na cobas ila kwenye mkanda kiunoni amening'iniza bastola kama 4 hivi na is not joking...Ukijaribu anakumaliza...Jamaa ni real dikteta mwenye background ya jeshi, Rwanda ni kosa la jinai kukaa vikundi eti kuongelea serikali mambo ya ajabu hakuna cha kushtakiwa kwa mahakaman ni unapotezwa ghafla tu hutojulikana ulipo na hakuna atakae jaribu kukutafuta...Unadhani Magu ataweza kuexperince hiyo life hata kwa siku 1?
*************************************************************

p.kagame sio malaika anamabaya na mazuri yake!,tuyaache mabaya take tuchukue mazuri yake !/ LENGO NI APATE MBINU ZA KUPAMBANA NA HAWA VICHWA NGUMU ( UNTOUCHABLE) WENYE MIRIJA YA WIZI KILA PAHALA NDANI YA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom