Recent content by Ndonoman

  1. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna mimea inakula nyama

    Kuna watu nimewahi kuwasikia kuwa eti kuna miema inakula nyama, je kuna ukweli wowote katika hili?
  2. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Pweza ana Mioyo tatu na bongo 9

    Nimesikia kuwa Pweza ana mioyo mitatu ambayo inafanya kazi tofauti tofauti, pia ana bongo 9, kuna ukweli hapo Wakuu?
  3. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Profesa Assad alisema Sitapiga kura hadi nchi hii tuanze kupiga kura kidigitali

    Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake hawapendani?

    Tangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake wasiaminiane kuwa hakuna anayempenda mwingine? Nauliza hivi kwa kuwa msemo huo umekuwa ukisikika zaidi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Nami naenda kuongeza idadi ya wanachama hewa, kwanza nakichukia basi tu nitaichukua kadi kisha nitakuwa naitunza nje kwenye banda la mbwa ndani kwangu haingii maana ni kama naweka mkosi tu ila sina namna
  7. N

    JamiiForums Tanzania Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Mimi sina kadi ya chama chochote ila nawaza kutafuta kadi ya chama kile kikongwe, sio kwamba nakipenda ila nalazimika maana marafiki zangu hawasumbuliwi kwenye biashara zao kisa wana kadi hiyo hata wao walitafuta kwa ajili ya ulinzi tu wa biashara Tulikuwa kwenye viti virefu wakanikutanisha na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO imetosha sasa, huu umeme wa kushituashitua namna hii bora usiwepo maana upo ila hatuwezi kuutumia

    TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki? Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a...
  9. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kitu gani kitakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena Serikali iliyopo madarakani?

    Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena? Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu 2024 na uchaguzi wa Serikali Kuu utakaofanyika 2025 Natumai kila...
  10. N

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

    Ungetumia akili vizuri usingeandika ulichoandika ila kwa kuwa umeitumia vibaya ndio maana umeandika hiki
  11. N

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

    Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM. Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mgunduzi wa treni alikuwa Mtanzania?

    Nimekuwa nikisikia story kuwa mgunduzi wa treni ya kwanza alikiwa mtanzania. Na baada ya ugunduzi huo Wazungu (nasikia ni Wajerumani sina hakika wa hilo) kuwa walimuua na wao wakachukua huo ujuzi na kufanya kuwa yao.
Back
Top Bottom