Recent content by ndinalyo

  1. N

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Heshima kwenu wanajamvi.Jamani naomba msaada wenu mimi ni binti wa miaka 23 yapata wiki ya pili ss napata usingizi kwa shida sana na sielewi tatizo ni nini naomba msaada wenu jamani.Ahsanteni
  2. N

    Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta

    jamani marinda ndo nini mbona sielewi
  3. N

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Huyu anakonda pumbafu. Hivi mtu anadharau laki3 kwa siku na kila kona watumishi wanalia? wengi hawajaenda Dodoma kutunga katiba wameenda kuitia hasara serikali.
  4. N

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Nakumbuka kaka yangu alikua anaumwa sikio mama alikua ana muekea matone ya tangawizi iliotwangwa na alipona mpaka leo.
  5. N

    Ndoa zetu...

    Kwa research yangu ndogo. kati ya me na ke wanaokufa sana ni wanaume na chanzo ni lifestyle yao ikichangiwa na vitu kama cheating na nyumba ndogo magonjwa kama bp.stroke na cancer hayana visababishi vya kibiologia kama virus na bacteria chanzo chake kikuu ni human behavior ,lifestyle na social...
  6. N

    Nimgaya shida! wehehe mpo?

    wahehe ni wavumilivu sana na ni watu wakarimu sana.
  7. N

    Huu ndiyo ushahidi wa utofauti wa ubongo wa mwanamke na mwanaume

    a woman intuition never lie.now a understand why women can see things that men cant understand
  8. N

    Mwanaume kumgharamia mwanamke(kuhonga) ni amri ya mwenyezimungu,ni haki yao kuhongwa

    Haaa naona hujasikia hii.yaani sasa ivi ke na me wakiwa na uhusiano ambao unatambulika hata kama si kisheria au kidini ukimnyanyasa mpenzi wako akakushitaki unahukumiwa tena 3 days without a bill then ndo mambo ya kufungua jarada yanaanza so iktokea umempa ujauzito bnti ukakimbia labda uyo bint...
  9. N

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    pole my dear hasira zikimuishaa atakusameh
  10. N

    You left me but remember

    so sad mhh
  11. N

    jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

    mhh naomba umuulize kwa makini ukiona haeleweki endelea na PLAN B.
  12. N

    Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

    nywele zinapendeza bwana www au unaogopa kuombwa hela ya saloon?
  13. N

    Never underestimate the power of nyumba ndogo

    shame on you men who cheat on your wives and God will punishi you nyumba ndogo.wew kama mwanamke kweli kwa nini usitafute mumeo umfanyie hayo unayofanya kwa waume za watu na kwa nin ukuolewa?mfyuuuuu pub***c toilets
  14. N

    Natamani kuachana na wife

    umenikere unavosema unataka kumuacha fikiria ungekua ni wew au dada ako kafanyiwa ivo ingekuaje?MUOGOPE MUNGU KAKA
Back
Top Bottom