Recent content by NDESARACHI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

    Ngono sana hao
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

    Muone daaaamon atakupa mwongozo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mabinti na kazi

    una akili sana mkuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    mji wa moshi ni kama gaza umebarikiwa toka zaman na ukitaka kuamini waulize wapare waliokuwa wanaupigania zaman hizo tukawatoa nduki mpaka hapo jangwani same.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    ubadilike uende wapi mji ulishakuwa tangu zamani na nyumba kali zipo tangu kipindi hicho unashangaa miji mingine inakuwa kwa sababu hivyo vitu havikuwepo hiyo zamani ndo vinaibukia
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa: Noti bandia zimerudi kwa kasi

    mnajua kuandika na kusoma noti bandia hamjuhi gavana alipoteza muda wake wiki nzima kuelekeza umma note bandia na halali au nyie mlikuwa mnakunywa keroro mda huo. mbona vitoto vya kichaga hata cha miaka minne kinajua original na feki.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Lushoto

    kuna wachawi wangapi lushoto mkubwa?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako muhimu: Naona dalili za kufail kimaisha

    wanachukua kuanzia pass nne kilaza kama wewe hawawezi kubeba.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jobless-Graduates Association Press conference

    jiarini acheni kuwanga nyie, mtaitisha conference na ela hamna mnategemea nini mtembee na miguu mpaka conference hall, kikubwa nikila mtu kwa nafasi yake aangalie ni tawezaje kujiajiri na kutoka kama mimi. sio kusubiri ajira
  10. N

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    sasa we jamaa unakuwa kama ujasoma ratio pr school ukiangalia ratio ya muda wa kuanza operation na no of customers bado lapf ni iko juu maana imechelewa kuanza lakini speed yake ni kubwa ktk ukuaji hivyo tumia statistic vizuri kuargue.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    mtu anakula vitumbua au mua kwenye hiace alafu anakusogezea mfuko karibu. wananikera sana mavi yao
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Gari kuukuu lazusha tafrani bungeni

    huyo mwandishi weni alishindwa kulipiga hata picha au alikuwa na simu ya nokia tochi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA)2014 Live Updates

    ninaomba kujua msanni anapopata ile tuzo anapewa na fedha kiasi gani kinacholingana na ile tu maana usije kuta mtu anachekelea kapata tuzo saba wakati zote atapewa laki saba. naomba kujuzwa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kuwa na hasira za kiasi gani!?na ulifanya kitendo gani

    Amna seheemu hasira zinanipanda kama unakuta umekunywa bia tano muhudumu anakuambia umekunywa saba natamanigi nimchomoe koromeo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    penzi kitovu cha uzembe cha akina NGOSWE
Back
Top Bottom