Mabinti na kazi

Mabinti na kazi

huwezi bishana na hii kitu..labda kama hujawahi kufanya kazi kwenye maofisi.
 
Inatokea but not always. Rushwa ya ngono imekuwepo toka enzi na enzi, so its not a new thing. Tusi genaralize mambo. Wengi wao wanaoliwa wanatafuta kazi wakiwa wameshika chupi mkononi. Namaanisha wanataka wao kutoa rushwa ya ngono. The same applies kwa wanafunzi wa vyuo. Unamwambia lecture please im ready for anything ilimradi ni pass somo hili. What do you expect, ukikataa matakwa yake anaanza kutangaza eti ulikuwa una mtaka akakunyima ndo umemfelisha.

kuna kipindi zilitoka nafasi za kwenda kusoma ofisini kwetu, nafasi 2, ila kada tofauti. Kwa kida ninayoiongoza kuna possible three candidates. Wawili wanawake na mmoja mwanaume, nafasi moja. Nilishangaa these ladies kila mmoja alitaka anishawishi kwa K ili nimpe nafasi, ingawa siyo direct lakini mtu mzima unajua pale binti anapokuwa anataka kukutega. So nilichofanya, nilimuoomba boss wangu akubali tuombe chuo kimoja wapo wawafanyie usahili wa mtihani ili kuondoa maneno. Mwanaume alifaulu akaenda zake.so in most cases wanawake wenyewe ndo wanakuwa wanataka kutumia advantage za papuchi zao kufanikiwa kwenye lile wanalolitaka.

dah hatari sn,wenyewe utawasikia wanashauriana ’wewe mpe tu kwan ataondoka nayo'?
 
Hahahahaaaaa..... Htr sana
 
Unataka tuanze kuishi kwa hofu na wapenzi wetu......?
 
Sio lengu langu. Hata hivyo binadamu hawaaminiki Kamwe. Yupo Dada mmoja hapa ofisini kwetu anatoka na country manager na kila mmoja ana familia yake. Kazi kwako mkuu s.crony
 
Last edited by a moderator:
Asalaaaaam kwenu nyoteee. Leo nakuja na hoja ndogo ila kubwa.
Inaaminika kuwa Mabinti wengi waliomaliza chuo hupata kazi baada ya kuliwa uroda na waajiri hasa hasa wa sekta binafsi. ( fani za utabibu na ualimu hazihusiki hapa)
Nani mwenye Imani tofauti na hii?
kwanini umeondoa utabibu naualimu?
1.walimu vijijii,wilayani unajua wanavyoomba ruhusa kwenda mjini kywenye mshahara?,unajuawanavyopata au jinyenyekeza kwa mabosi wao wa wilaya,ukaguzi,nk....ahaha acha bwana
2.TUJE MADAKTARI...
Kwani matabibu hawana PAPUCHI?
Kwani hawaishi/hawajui matatizo? hawapendi starehe?hawahitaji kupanda madaraja?hawahitaji posho nje ya kituo ca kaz?hahitaji fursa?
hebutufafanulie kwnini umeyaondoa Haya MAKUNDI?
nawakilisha...
 
Mkuu nilijikita kwenye hatua ya awali ya kusaka eneo la kupatia tonge after school... Kwa mapana ya uwasilishaji wako nao wanahusika hapa. Wauguzi na night zao mmmh... ni shidaaar. Pia walimu nao Wana changamoto zaooo.... monaco
 
Last edited by a moderator:
Hapa ofisini kwetu kuna vibinti vilikuwa intern kwa karibu mwaka,viliposikia kuna nafasi 2 za ajira tulishangaa kuona vinajirahisi kwa manager ambaye ni mngoni. Kisichana kimoja ni kiarabu koko basi jamaa alivigegeda chap chap bila shida ili avipendekeze viajiriwe,hii ni nouma sana.
 
Hahahahaaaaa..... Ni shideeer mkuu leipzig
 
Last edited by a moderator:
Hapa ofisini kwetu kuna vibinti vilikuwa intern kwa karibu mwaka,viliposikia kuna nafasi 2 za ajira tulishangaa kuona vinajirahisi kwa manager ambaye ni mngoni. Kisichana kimoja ni kiarabu koko basi jamaa alivigegeda chap chap bila shida ili avipendekeze viajiriwe,hii ni nouma sana.

Ulikuwepo siku ya tukio?
 
Ulikuwepo siku ya tukio?
ha ha ha ndugu yangu umenifurahisha sana ameongea kwa kujiamini sana, jamani acheni kusingizia watu maovu ikiwa hamna ushahidi wa kutosha au labda aliwachungulia dirishani mwenzetu.
 
inatokea but not always. Rushwa ya ngono imekuwepo toka enzi na enzi, so its not a new thing. Tusi genaralize mambo. Wengi wao wanaoliwa wanatafuta kazi wakiwa wameshika chupi mkononi. Namaanisha wanataka wao kutoa rushwa ya ngono. The same applies kwa wanafunzi wa vyuo. Unamwambia lecture please im ready for anything ilimradi ni pass somo hili. What do you expect, ukikataa matakwa yake anaanza kutangaza eti ulikuwa una mtaka akakunyima ndo umemfelisha.

Kuna kipindi zilitoka nafasi za kwenda kusoma ofisini kwetu, nafasi 2, ila kada tofauti. Kwa kida ninayoiongoza kuna possible three candidates. Wawili wanawake na mmoja mwanaume, nafasi moja. Nilishangaa these ladies kila mmoja alitaka anishawishi kwa k ili nimpe nafasi, ingawa siyo direct lakini mtu mzima unajua pale binti anapokuwa anataka kukutega. So nilichofanya, nilimuoomba boss wangu akubali tuombe chuo kimoja wapo wawafanyie usahili wa mtihani ili kuondoa maneno. Mwanaume alifaulu akaenda zake.so in most cases wanawake wenyewe ndo wanakuwa wanataka kutumia advantage za papuchi zao kufanikiwa kwenye lile wanalolitaka.

una akili sana mkuu
 
Back
Top Bottom