Recent content by Ndengano

  1. N

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu (Mb): Balozi wa Marekani ni mpuuzi, mikono yenu inanuka damu

    Bora wangemlipa musiba awasemee sio weweeee......ungesikia nyie mabeberu mnataka kutupangia na kututawala tutawapotezaaaaaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

    dah yaani kama tumefikia huko kila mtu apambane na hali take.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chumba ambacho goli la mkono lilifungwa je hawa waliosaidia ili goli wapo wapi?

    Apandacho MTU ndicho atakachovuna
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbona wapemba wanakula sana chipsi lakini wana wake wengi?

    Wenzetu wanakula vizuri hats huo urojo wanaweka virutubisho kibao sasa nyie jidanganyeni na maugali yenu mnajijazia masukari mwilini halafu hamjui jinsi ya kusafisha mwili. Yale maviungo pia no dawa nzuri sana kwao
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

    Tupage masomo dear ili tupige pesa mtaani pagumu eti
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Labda ungeniambia jaji Warioba au jaji Agustino Ramadhani sawa hawa wengine woote ni kwa ajili ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya watanzania
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nipe wizara ya mambo ya ndani kwa siku saba niufunge mjadala wa Lissu.

    Wewe jamaa unataka jiwe azimie aanguke afe kabisaaa. Kwanza ukipata huo uwaziri unapewa na mipaka ripoti ikitoka ipitie mezani kwake kinachofuata utaamuliwa nini cha kusema ohoooo waoneni mawaziri na vitu wanavyofanya ufikiri ni utashi wao wamepangiwaaaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA ZITTO KUTAKA KUJITEKA NI NZITO, AELEZE UMMA KWA NINI?

    Pambafuuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumaliza uchawi pasipo muhusika kujua

    Yaani umeshindwa kuzungumza na Mimi ukaona uje unianike huku unakoita kijiweni wachawi hatukimbiwi sisi no kama upepo popote ulipo tupo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Tanzania mpya TBC: Katiba ibadilishwe Rais atawale miaka 20

    Hapana hapa tulipofikia inatosha hata nyerere aliona mbali kwamba ingezidi hapa watu wangejiona hii nchi in Mali yao inabidi tukae chini ikiwezekana ipunguzwe labla watatuheshimu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Sasa we we mbona unawashwawashwa ungekuwa we we ndio upon kwenye nafasi yake usingefanya hivyo???? Mbali na hayo tumeona waziri wa ujenzi akijinunulia nyumba tens mpaka mahawara wamenunuliwa. Mwisho kabisa hili jambo ni kwanini ulilete Leo wakati ni la muda mrefuuuu???? Umeona mini??
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa hisa za Vodacom waanza kuuza kwa hasara ya shilingi 100

    Nyie uzeni Sisi tupo na uwekezaji wa maviwanda tutaheshimiana tu 2020
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020

    Haaaaa Lumumba katika ubora wao hapo unatafutwa ugali wa Siku moja hadanganyiki mtu hapa kawaambie mbinu yetu imebuma wameistukia 2020 twende na membe
Back
Top Bottom