Dawa ya kumaliza uchawi pasipo muhusika kujua

Dawa ya kumaliza uchawi pasipo muhusika kujua

Subiri siku moja waje misukule wa kiume wakupige pumbu mpaka ushike adabu kwa nini umekuja kusema siri za mkeo humu.
Nampenda sana mke wangu,Mwenyezi Mungu katujaalia watoto wa nne,ila tatizo lake ni hilo tu uchawi,msaada wenu tafadhali ili ndoa yetu iendelee kudumu, vinginevyo nitamtelekeza kijanja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umeshindwa kuzungumza na Mimi ukaona uje unianike huku unakoita kijiweni wachawi hatukimbiwi sisi no kama upepo popote ulipo tupo
 
Mnyoe maviuzs Akiwa usingizini yatemee mate halafu yafunge kwenye ile leso yeye Hua anakupangusia mkimaliza game kisha niletee
 
Back
Top Bottom