Mbona wapemba wanakula sana chipsi lakini wana wake wengi?

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
Mademu wa bongo wajanja sana wanasemaga eti chipsi zinapunguza nguvu za kiume huu ni uongo

mbona wapemba wanakula sana chipsi yai,urojo na mavyakula mengine malaini laini na hawalagi ugali kabisa ukitaka kumnyima mpemba chakula pika ugali hali kabisa

Mademu wa bongo wanatuambia tule maugali eti yatatupa nguvu za kutia chipsi tuwaachie wao ha ha ha tumeshtuka tutabanana huko huko kwenye chipsi yai hatudanganyiki tena kama chipsi zingekuwa na madhara basi wapemba wangekuwa wa kwanza kudhurika.
 
MAISHA MAGUMU MNO TUTUMIE VEMA AKILI ZETU KUPATA UFUMBUZI WA KIMAISHA
 
Hata huo ugali ukiula bila mpangilio utakujazia tumbo tu na kukupa ugoigoi ..wapemba lazima kila chakula wale na seafood wenyewe huita chukuchuku na vyakula vyao huweka spices nyingi kama tangawizi etc mikate yao huoka na kupunguza wanga usio wa lazima hata juisi zao huweka spices ..kifupi jamaa huwa wana mpangilio mzuri sana wa kula kwa afya..hawajazi matumbo hovyo kwa ugali na maharage ya mafuta
 
Kwa hyo mtoto wa kiume unakula chipsi na yai tepetepe?

Umeuliza hao wake zao wanaridhika?
 
Wenzetu wanakula vizuri hats huo urojo wanaweka virutubisho kibao sasa nyie jidanganyeni na maugali yenu mnajijazia masukari mwilini halafu hamjui jinsi ya kusafisha mwili. Yale maviungo pia no dawa nzuri sana kwao
 
Nguvu za kiume/ mwili ni vile ulivyozaliwa na vile unavyoishi. chakula ni kama bonus tu.
Rafiki yangu siku moja alinipa point ya maana .alinambia hivi

"Ulaya kuna watu hawajui ugali ni nini hawali kabisa ina maana wao hawana familiya? Pili watu kama wapiga ngumi/ mieleka/ wacheza mpira hawajui ugali ni nini lakini wana mili mizuri tu na wako vizuri kila sehemu, nikaona yupo sasa kabisa. He is...😁 anapendaga wali Huyoo. 😂😂😂😂
Akamalizia kwa kusema " sehemu nyingine ugali ni chakula cha nguruwe'" nilicheka sana nikakumbuka nyumbani kwetu watu hawali ugali na wako vizuri na familiya nzuri.

Jamani kuleni chips uwezavyo.na Fanya mazoezi. Ova.😁
 
Back
Top Bottom