TUHUMA ZA ZITTO KUTAKA KUJITEKA NI NZITO, AELEZE UMMA KWA NINI?

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

_Ndugu wanahabari,_

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama cha upinzani Chadema na washirika wake wakitumia mbinu ya ama watu kupotea au kuuawa katika jinai za kawaida ambazo zimekuwepo tangu zama lakini wao wakianza kuzitumia kama mbinu ya kisiasa bila kuzingatia misingi ya uchunguzi.

Wakati hata zamani watu walikuwa wakipotea kwa sababu mbalimbali au kuuawa kwa sababu mbalimbali, inaonekana mbinu ya kutishiwa kuuawa, au watu kutoweka kwa sababu zao sasa imekuwa kiki ya kisiasa si tu Chadema bali hata ACT; tunasikitishwa suala hili sasa linavyogeuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kutaka kuichafua Serikali bila sababu

_Ndugu wanahabari,_

Tunayo masikitiko makubwa kuona wanasiasa kama Zitto Kabwe nao wanaingia katika mkumbo huu baada ya kila hoja anayoishika kuonekana haina nashiko.

Taarifa zilizoenea ni kuwa sasa mwanasiasa huyo anataka kujitengenezea au kuna namna atatengenezewa na watu wake au wakubwa zake walioanza kumchoka ili litokee tukio la kujeruhiwa au kutishiwa maisha ili ajijengee mtaji wa kisiasa.

Taarifa na tuhuma hizi ni nzito na mbaya kwa Taifa hivyo sisi vijana wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tunamtaka Mhe. Zitto Kabwe kujitokeza na kutoa ufafanuzi wa tuhuma hizi mbaya zinazoweza kuichafua nchi.

_Ndugu wanahabari,_

Tuhuma hizi hazipaswi kupita bila kukemewa hasa ikizingatiwa kuwa hii inaanzakuwa fasheni kwa wanasiasa wa upinzani.

Mbunge Tundu Lissu hata akiwa hajahojiwa na wachunguzi amekuwa akilaumu Serikali hadi aliposhindwa rasmi kuthibitisha madai yake mbele ya Mtangazaji wa BBC.

Lakini ikumbukwe, na cha ajabu, wanasiasa kama Zitto, hii ya kujitungia uongo kuwa watauawa au wanatishiwa ni staili yao tangu zamani.Wamesahau tu.

Wakati Lissu akiwa mwanaharakati wa madini alipata kutishiwa na mabeberu wa madini hadi akaenda kusoma nje, Zitto naye akiwa Chadema alipata mara kadhaa kusema anategeshewa kuuawa.

Lakini leo Lissu kasahau maadui wa wakati huo waliokuwa na usongo naye na Zitto ametoka Chadema lakini sasa amewakumbatia wale wale aliowatuhumu kuwa wanataka kumuua kwa kuungana na Chadema.

Sasa Zitto kaibua madai kuwa Tiss au watu asiowataja wanataka kumuua.

Kama aliwatuhumu Chadema na leo ndio marafiki zake ni aidha Zitto ni mkweli kwa hiyo anapaswa kutoa vielelezo kuanzia matishio aliyokuwa nayo Chadema ili hata sasa akidhurika watu watrace maadui zake au ni muongo wa kutupwa anayetumia staili hii ya kudai kuuawa kama kiki ya kisiasa.

_Ndugu wanahabari,_

Ndio maana, kwa utata huo, tumeshawishika kujitokeza kumtaka Ndugu Kabwe atoke hadharani kuueleza umma kipi ni kipi?Lissu tutamsubiri apone aje aeleze anadhani wale waliomkimbiza mwanzo hadi akaenda kusoma nje na akarudi akaanza kuwazodoa tena katika mabeberu wa madini anadhani alimalizana nao?

Je, ni kweli Zitto naye anatishiwa? Kama ni kweli ni kina nani walimtisha akiwa Chadema?waligombana naye nini?Walichogombana kimekwisha? Kama ndio kimekwisha vipi?

Je, kama ni kweli anadhani maadui zake ni nani hasa?Alishamalizana na maadui zake waliotaka kumuua akiwa Chadema?Kwenye madini ambako amekuwa akitumika hana maadui?Kwa nchi anakopita na kutuma taarifa nyingine zikigeuka za uongo na kuwaudhi waliomtuma licha ya kumlipa hela nako anadhani hana maadui?Anatengeneza hitimisho gani hata pale ambapo jambo halijatokea anaanza kuilaumu Serikali?Je, anashiriki hicho anachokiita mipango mibaya dhidi yake? na labda la mwisho; anajua maumivu aliyowasababishia makumi ya mabinti aliowatelekeza?Hadhani kwamba hawa nao ni maadui?Kwa nn shida zake kama zipo zote anakimbilia kulaumu na kutaka kuchafua nchi?

Tunataka ajitokeze ajibu haya.

*Imetolewa na Munir Abubakar*

**KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA (KICHAKUA)*
*DAR ES SALAAM, TANZANIA*
Zitto anatafuta pakujishikia kisiasa.. apo anaweza kutengeneza zengwe ili aseme katishwa au katekwa ili apate huruma ya wana kigoma 2020. Ajitokeze tu
 
Huyu zitto mzee wa kudandia mada amejua anaporomoka kisiasa ana plan kufanya jambo la kipuuzi ili asingizie Serikali, haka kachalii kana puyanga sana
 
Hivi watu hawa bado wapo tu?? Nimesoma kutoka mwanzo mpaka mwisho sijaona point yoyote zaidi ya upuuzi tu najuta kupoteza muda hapa. Eti wajuvi wa hapo Lumumba thread kama hii unalipwa kiasi gani vile???
Kwani point ni lazima iwe pale lissu msaliti anaposema mabeberu wanataka muwe wafirwaji tu?
 
Muheshimiwa anatutengenezea kizazi cha kipumbavu bila kujua na siku akija kujua atakuwa ashachelewa,HIVI MTU KAMA HUYU ANAPATA WAPI MUDA WA KUANDIKA UPUMBAVU KAMA HUU HALAFU AKILI YAKE IKAM-SUPPORT?
 
Jinga kubwa sana hili jamaa linakurupuka na kuandika pumba. Hata yule bidada wa DW aliyetekwa Dar akitokea Zenj naye alijiteka.

Usisahau hata Nondo aliye tuhumiwa kujiteka kawapiga chini mahakamani.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

_Ndugu wanahabari,_

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama cha upinzani Chadema na washirika wake wakitumia mbinu ya ama watu kupotea au kuuawa katika jinai za kawaida ambazo zimekuwepo tangu zama lakini wao wakianza kuzitumia kama mbinu ya kisiasa bila kuzingatia misingi ya uchunguzi.

Wakati hata zamani watu walikuwa wakipotea kwa sababu mbalimbali au kuuawa kwa sababu mbalimbali, inaonekana mbinu ya kutishiwa kuuawa, au watu kutoweka kwa sababu zao sasa imekuwa kiki ya kisiasa si tu Chadema bali hata ACT; tunasikitishwa suala hili sasa linavyogeuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kutaka kuichafua Serikali bila sababu

_Ndugu wanahabari,_

Tunayo masikitiko makubwa kuona wanasiasa kama Zitto Kabwe nao wanaingia katika mkumbo huu baada ya kila hoja anayoishika kuonekana haina nashiko.

Taarifa zilizoenea ni kuwa sasa mwanasiasa huyo anataka kujitengenezea au kuna namna atatengenezewa na watu wake au wakubwa zake walioanza kumchoka ili litokee tukio la kujeruhiwa au kutishiwa maisha ili ajijengee mtaji wa kisiasa.

Taarifa na tuhuma hizi ni nzito na mbaya kwa Taifa hivyo sisi vijana wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tunamtaka Mhe. Zitto Kabwe kujitokeza na kutoa ufafanuzi wa tuhuma hizi mbaya zinazoweza kuichafua nchi.

_Ndugu wanahabari,_

Tuhuma hizi hazipaswi kupita bila kukemewa hasa ikizingatiwa kuwa hii inaanzakuwa fasheni kwa wanasiasa wa upinzani.

Mbunge Tundu Lissu hata akiwa hajahojiwa na wachunguzi amekuwa akilaumu Serikali hadi aliposhindwa rasmi kuthibitisha madai yake mbele ya Mtangazaji wa BBC.

Lakini ikumbukwe, na cha ajabu, wanasiasa kama Zitto, hii ya kujitungia uongo kuwa watauawa au wanatishiwa ni staili yao tangu zamani.Wamesahau tu.

Wakati Lissu akiwa mwanaharakati wa madini alipata kutishiwa na mabeberu wa madini hadi akaenda kusoma nje, Zitto naye akiwa Chadema alipata mara kadhaa kusema anategeshewa kuuawa.

Lakini leo Lissu kasahau maadui wa wakati huo waliokuwa na usongo naye na Zitto ametoka Chadema lakini sasa amewakumbatia wale wale aliowatuhumu kuwa wanataka kumuua kwa kuungana na Chadema.

Sasa Zitto kaibua madai kuwa Tiss au watu asiowataja wanataka kumuua.

Kama aliwatuhumu Chadema na leo ndio marafiki zake ni aidha Zitto ni mkweli kwa hiyo anapaswa kutoa vielelezo kuanzia matishio aliyokuwa nayo Chadema ili hata sasa akidhurika watu watrace maadui zake au ni muongo wa kutupwa anayetumia staili hii ya kudai kuuawa kama kiki ya kisiasa.

_Ndugu wanahabari,_

Ndio maana, kwa utata huo, tumeshawishika kujitokeza kumtaka Ndugu Kabwe atoke hadharani kuueleza umma kipi ni kipi?Lissu tutamsubiri apone aje aeleze anadhani wale waliomkimbiza mwanzo hadi akaenda kusoma nje na akarudi akaanza kuwazodoa tena katika mabeberu wa madini anadhani alimalizana nao?

Je, ni kweli Zitto naye anatishiwa? Kama ni kweli ni kina nani walimtisha akiwa Chadema?waligombana naye nini?Walichogombana kimekwisha? Kama ndio kimekwisha vipi?

Je, kama ni kweli anadhani maadui zake ni nani hasa?Alishamalizana na maadui zake waliotaka kumuua akiwa Chadema?Kwenye madini ambako amekuwa akitumika hana maadui?Kwa nchi anakopita na kutuma taarifa nyingine zikigeuka za uongo na kuwaudhi waliomtuma licha ya kumlipa hela nako anadhani hana maadui?Anatengeneza hitimisho gani hata pale ambapo jambo halijatokea anaanza kuilaumu Serikali?Je, anashiriki hicho anachokiita mipango mibaya dhidi yake? na labda la mwisho; anajua maumivu aliyowasababishia makumi ya mabinti aliowatelekeza?Hadhani kwamba hawa nao ni maadui?Kwa nn shida zake kama zipo zote anakimbilia kulaumu na kutaka kuchafua nchi?

Tunataka ajitokeze ajibu haya.

*Imetolewa na Munir Abubakar*

**KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA (KICHAKUA)*
*DAR ES SALAAM, TANZANIA*
Kweli CCM ni matakakata
 
Ko umetanguliza hii habri ili mtimize hadhima yenu ya utekaji?
Sasa shauri yenu mkitekeleza hii adhima yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu alimwambia Lissu anayoyasema ni allegations yaani tuhuma zisizo na ushahidi. ZZK mara amtishie mtu uchawi, mara aseme kuna mtu anamfuatilia, ilimradi tu aongee ili asikike.
 
Allegations..wakati CCTV camera mmeficha..Lissu anazo clips..aliyevaa kofia kajulikana
 
Aiseee, sikulaumu kwa kunipotezea muda kusoma ulichoandika, nakushukuru kwa kunithibitishia kwa vitendo kuwa " Sio kila mwendawazimu ni mwendawazimu wa kila MTU"
 
Yani nilijua bonge la hoja kumbe upuuzi mtupu subili mtaona chamoto kumbe mnaumia kutjwa wakati mna yataka wenyewe uzuri alie mtishi zitto anaitwa Thobia mwesiga tunamjua wew na unaleta mambo yenu hapa lumumba kwendlaaa kiza cha kutumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom