Recent content by Ndembwela

  1. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Watahiniwa wa CPA njia panda

    Mpaka mwaka jana Chairman alikua Prof Isaya Jairo.
  2. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Kweli...kuna video zinazomuonesha clearer kabisa. Nahisi ni mazoezi anayoyafanya.
  3. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Maulid Kitenge
  4. Ndembwela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Mothers Day Wanajamii Forums Kipi Unakikumbuka kutoka kwa Mama yako?

    Its International Women's Day, not Mothers Day.
  5. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    It must have been love - Rosette
  6. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Ni wapi yanapouzwa mashuka kwa jumla (wholesale)

    Habari wanaJF. Ninaomba msaada wa mahali pa kuyapata Mashuka ya Uganda na Pakistan hapa Tanzania kwa bei ya jumla. Au kama kuna mtu anaushauri mzuri wa jinsi ya kufanya biashara ya mashuka nitashukuru nikipata msaada wa mawazo. Pia ningependa kujua yanakopatikana mashuka ya kimasai kwa bei...
  7. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Nahitaji link ya Public Audit Act 2008

    Asante kwa link mkuu lakini haipo humo. mob
  8. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Nahitaji link ya Public Audit Act 2008

    Nimejaribu kutafuta link ya hiyo Act bila mafanikio. Kuna mahali nilipata amendments tu na si Act kamili.Msaada kwa anaejua tafadhali. Nilipita site ya bunge pia bila mafanikio.
  9. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Ndo nini interview kuweka siku moja?

    Mi nimeitwa wakala wa vipimo kwa post mbili tofauti muda na siku moja....majanga!:confused:
  10. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Usaili Utumishi, mnapimaje ubora wa mtu kwa maswali mawili?

    Kwakweli nilijaribu kusugua kichwa kukumbuka ule uchumi wa form 5 nikaambulia patupu...tumesoma audit tumekutana na economics...utumishi noma, ngoja tusubiri hiyo alhamis!:crying::crying::crying:
  11. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania Majina ya usahili Utumishi Auditors II NAO na HRO

    Ni shidaaaaah! ngoja tukajaribu bahati yetu.
  12. Ndembwela

    JamiiForums Tanzania English mbovu ya Linah inatia Aibu

    Lina sio mhehe ni mkinga...afu muache ukabila.:angry::angry:
  13. Ndembwela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadedicate wimbo gani kwa mpenzi wako kuelekea valentines day?

    Naupenda pia huo wimbo:cheer2::cheer2::cheer2:
Back
Top Bottom