Happy Mothers Day Wanajamii Forums Kipi Unakikumbuka kutoka kwa Mama yako?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Kwanza Kabisa natanguliza Pole za dhati kabisa kwa wenzetu waliopoteza mama zao katika hatua yeyote ya maisha yao I really feel sorry folks Mungu awasitiri Marehemu wote na awapunguzie adhabu ya Kaburi.

Hapa chini Kuna majibizano yaliyotengenezwa kisanii baaina ya Mungu na Mtoto mchanga anayetarajiwa kuja duniani.

A baby asked God, “They tell me you are sending me to earth tomorrow, but how am I going to live there being so small and helpless?”

“Your angel will be waiting for you and will take care of you.”

The child further inquired, “But tell me, here in heaven I don’t have to do anything but sing and smile to be happy.”

God said, “Your angel will sing for you and will also smile for you. And you will feel your angel’s love and be very happy.”

Again the child asked, “And how am I going to be able to understand when people talk to me if I don’t know the language?”

God said, “Your angel will tell you the most beautiful and sweet words you will ever hear, and with much patience and care, your angel will teach you how to speak.”

“And what am I going to do when I want to talk to you?”

God said, “Your angel will place your hands together and will teach you how to pray.”

“Who will protect me?”

God said, “Your angel will defend you even if it means risking it’s life.”

“But I will always be sad because I will not see you anymore.”

God said, “Your angel will always talk to you about Me and will teach you the way to come back to Me, even though I will always be next to you.”

At that moment there was much peace in Heaven, but voices from Earth could be heard and the child hurriedly asked, “God, if I am to leave now, please tell me my angel’s name.”

“You will simply call her, ‘Mom.'”

"NANI KAMA MAMA"RIGHT
Nakumbuka alinikuza ili niwe mtu mwema na msikivu..! Though ukorofi nlifanya sana but she was always leading me to a RIGHT path..! Nampenda sana Mama yangu na Natamani aishi miaka mingi...Amen
145e9d1dddd5d4799875588759275aae.jpg
 
Mimi mama yangu namkumbuka kwa kunisapoti hata katika ujingaaa. Hahaaaa. Jamani wazazi wengine huku sio kupenda ni ugonjwa. Mbele za watu atajifanya hakubalianiii kabisaa baadae yuko fanikisha basi, ila vikibumaaa usinitajeee, nisipokusapoti wewe mwanangu nimsapotiii nani, ukipata wewe mimi ndo nimepata Kubwa la maadui. (Hili jina tokea utoto. Hahahaaaaa!)

Au atalalamika asaa 13 kwamba haitakiwi kwenda hivooo kabisaaa ila baadae utasikia fanya unachotaka, kwani nakuzuiaje sasa, mi nimesema hapa kila mtu kasikiaaa. Utajuana na baba ako vikibuma hukooo. Hahahahaaaaa.

Ama kweli Mama ni mama.
 
:D:D:D:Dmama ni mama
 
Upendo wake tu kwang n
Kumbukumbu tosha
Love you my mother
Maisha marefu umri
Mrefu mungu akuongezee
 
Kwanza Kabisa natanguliza Pole za dhati kabisa kwa wenzetu waliopoteza mama zao katika hatua yeyote ya maisha yao I really feel sorry folks Mungu awasitiri Marehemu wote na awapunguzie adhabu ya Kaburi.

Hapa chini Kuna majibizano yaliyotengenezwa kisanii baaina ya Mungu na Mtoto mchanga anayetarajiwa kuja duniani.

A baby asked God, “They tell me you are sending me to earth tomorrow, but how am I going to live there being so small and helpless?”

“Your angel will be waiting for you and will take care of you.”

The child further inquired, “But tell me, here in heaven I don’t have to do anything but sing and smile to be happy.”

God said, “Your angel will sing for you and will also smile for you. And you will feel your angel’s love and be very happy.”

Again the child asked, “And how am I going to be able to understand when people talk to me if I don’t know the language?”

God said, “Your angel will tell you the most beautiful and sweet words you will ever hear, and with much patience and care, your angel will teach you how to speak.”

“And what am I going to do when I want to talk to you?”

God said, “Your angel will place your hands together and will teach you how to pray.”

“Who will protect me?”

God said, “Your angel will defend you even if it means risking it’s life.”

“But I will always be sad because I will not see you anymore.”

God said, “Your angel will always talk to you about Me and will teach you the way to come back to Me, even though I will always be next to you.”

At that moment there was much peace in Heaven, but voices from Earth could be heard and the child hurriedly asked, “God, if I am to leave now, please tell me my angel’s name.”

“You will simply call her, ‘Mom.'”

Mimi sina cha kukumbuka ila nina cha kumshukuru tu kwa kuweza kumpa ushirikiano wa Kibaiolojia Baba na hatimaye GENTAMYCINE nikawasili duniani ambapo mpaka sasa natiririka tu na Wanadamu wenzangu.
 
Mimi nalumbuka nilivyokuwa mapiga "push up" tumboni mwa Mama huku yeye akilalamika maumivu
 
Leo nawakumbuka wanawake malkia wa nguvu wawili tu duniani.

Mmh mama yangu upendo unaonionesha sijawahi kupata kwingine, umebeba mizingo yangu mingi ila huchoki, unanitetea hata kama mm ndo nimekosea. Hulali bila kunitafuta, huli bili kuniuliza kama nimeshakula Nakupenda sana mama yangu.wewe ni malkia wa nguvu kuliko wote:

pili, Wewe mama uliemzaa mwanaume nimpendae kutoka moyoni, ni mwanamke pekee duniani aliyenizalia mwanaume nimpendae. Niseme tu mama "'L, F, D" wewe ni malkia wa nguvu siku ya leo.

Ujumbe: tuwapende sana hawa mama zetu pande mbili maana bila wao sisi hatujakamilika.

N.b niwakumbuke mashoga zangu maana na nyie mmmh ni muhimu nikiwa na stress mtu wa kwanza kumtafuta ni shoga yangu. Mashoga zangu nyie pia ni wanawake wa nguvu nawapendaga sana.

Happy women's day.
 
Mungu awape, Muongozo mwema wanawake wote katika Dunia yake hii; wawe na mioyo ya ufariji na uvumilivu katika kila jambo wafanyalo; Wasiojitambua awaongoze wajitambue kama wanawake~~ Happy Women's Day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom