Recent content by Ndekrepha

  1. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante kwa tahadhari. Ni kweli kuna mifano halisi ipo kuna walio athirika sana na hii kitu. But mimi nataka nikamilishe jambo langu tu.
  2. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Okay mkuu, Hapo nimekusoma. Hivyo kupata 400K inaweza kuchukua muda gani? with very low risk
  3. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nina uhitaji mkubwa sana wa hiyo 400K. Nikiipata before the end of next week itapendeza sana. Sina sababu ya kudanganya kiongozi,
  4. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nakuja mkuu. nione vile nitapata hata nyongeza kidogo ya hiyo capital yangu
  5. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mahitaji tu ya kifedha boss, japo najua naweza kukaribisha stress pia. But kwa nilivyosoma mchezo ukipata mzoefu wa betting 100K haiwezi kuisha yote bila kupata kitu..au sio hivyo?
  6. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sijashauriwa na mtu, nimewaza tu kama nitaweza kupata hela huko kwa kuwekeza nilichonacho. Jabo najua kuna kukosa pia
  7. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muongozo kwa maana betting sina ujuzi nayo sana..ni kitu nasikia tu sijawahi ku practice
  8. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa Mkuu. Ndio maana nimeomba muongozo. Hapo bado umeniacha..sijaelewa process na procedure.
  9. Ndekrepha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wajameni nisaidieni, nina shida ya 400K, na nina mtaji wa 100K. Means nataka niwe na cash 500k kwa kubet. Naombeni muongozo.
  10. Ndekrepha

    Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

    Ukikuwekea FBI wa kike hakikisha anajutia uamuzi wake kwa kupindua meza kibabe..akikuwekea wa kiume tafuta mademu zao halafu malizana nao tu kisha waambie wakaripoti kwa boss wao kwamba umechakata madem zao.. Hii ni kama mahusiano yako beyond repair..kwamba huna interest tena za kuendelea nayo.
  11. Ndekrepha

    Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

    Jangwani pale kwenye mafuriko ndio watajenga? au ni mpaka wameliza mradi wa Msimbazi basin ndio waje kwenye ishu ya soko Jangwani? Na kariakoo ni eneo gani watajenga hayo majengo ya wamachinga? Pale palipoungua? Tujiepushe na kauli tamu tamu zenye kuleta matumaini hewa.
  12. Ndekrepha

    ushahidi wa Kaaya na dada wa mbege katika kibonzo

    teh... wachora katuni wameendelea kweli
  13. Ndekrepha

    Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

    uko na stopwatch kuhesabu ushuzi kila dakika? Tupe sasa ujumbe wenyewe uliofichika kwenye uzi huu.... Aren`t you proud of your actions?
  14. Ndekrepha

    Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mapengo yenu kwenye mikoa mliyoondoka yanaonekana

    Labda hiyo kamati nayo ina kula raha kuliko binadamu yeyote...
  15. Ndekrepha

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

    Naam, Hivyo ndivyo inavyokuwa. Nilitaka kushangaa eti hakuna Ng`ombe wa mila katika kuchinja wakati nilihudhuria shughuli ya namna hiyo.
Back
Top Bottom