Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha.

Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.

Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakati hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao.

Asanteni.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
we jamba hata mfululizo tu haina tabu, kwani unavunja sheria mkuu? Piga vitu piga vitu hadi mbu wote wafe, kijambo ni dawa ya mbu
Nakuwa hata kukaa na watu naona noma maana kero afu utaona kila mtu anatoa sababu za kuondoka ila mm najua kilichomkimbiza hali hii inafanya mpaka nakosa marafiki

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nakuwa hata kukaa na watu naona noma maana kero afu utaona kila mtu anatoa sababu za kuondoka ila mm najua kilichomkimbiza hali hii inafanya mpaka nakosa marafiki

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Duh kwahiyo hata huwezi jizuia ukiwa na watu? Ebu kagua linda lako kama liko sawa, halijaadjust kweli? rudishia nati zake😀
 
uko na stopwatch kuhesabu ushuzi kila dakika?

Tupe sasa ujumbe wenyewe uliofichika kwenye uzi huu.... Aren`t you proud of your actions?
 
Wanapenda kula biriani na kuku wa kupakwa kwahiyo ndovyakula tunavyokula na kama chakula ni tatizo mbona wao hawajambijambi kama mm

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Kwanza umeshakosea , kula kwa muhindi ni kukubali kugeuzwa msukule tegemea siku utakuwa hulipwi mshahara we utakuwa unaenda tuu kutumikishwa.. nenda ukaombewe au utambike ila wahindi wameshakuinamisha
 
Back
Top Bottom