MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kuna Mmoja hapo Kiutedaji pengo lake wala halionekani, ila pengo lake la Kuteka, Kutesa, Kuwadhulumu Watu na Kutaka Sifa kwa Rais JPM lipo.
yeah but kuna tofauti wengine wanapenda sana mediaPublicity kwenye uongozi haikwepeki hata kidogo. Kwa mazuri au mabaya
Pengo kama la kibogoyo au? Mnapoondolewa kwenye "positions" msisumbue kwa kulia lia kama Rutengwe! Makonda kakonda huyoooo!Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo.
Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako sawa. Ule usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi mkoani DSM kama imekosa muendelezo wake. DSM imekuwa kama sio Jiji Kuu la biashara tena.
Kule Arusha nako zile heka heka za hapa na pale hazisikiki tena kwenye vyombo vya habari hata kwenye mitandao pia. Tabora ama Toronto chini ya Mwanri imekuwa kimya sana hata attention ya media sio sana. Kadhalika kule Manyara kwa Mnyeti kuko kimya sana.
Mara nyingine unaweza usiwajue hata Wakuu wa Mikoa hiyo kwa majina yao. Wamekuja na style mpya kabisa ya kuongoza mikoa hiyo.
Na hapa ndipo unapoweza kujua uongozi sio tu kuwaletea maendeleo watu bali pia jamii inakukubali kwa kiwango gani.
Kazi za hawa Wakuu wapya wa mikoa zimekuwa hazionekani sana kama za watangulizi wao, zimekuwa kama kazi za wahandishi wa maji, wanafanya kazi kubwa sana lakini hazionekani kwani baada ya kumaliza kazi zao huwa wanafukia mabomba chini ya ardhi na kuzificha udongoni.
Kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanashindwa na Wakuu wa Wilaya katika kuonesha uwezo wao wa kusimamia mambo. Kijana kama Ole wa Hai anaonekana sana kwa kuwa muibuaji wa mambo mengi.
Kusema ukweli kuna mikoa hasa hasa DSM na Arusha inawahitaji wakuu wa mikoa wenye kelele nyingi kwa sababu ya asili ya mikoa yenyewe. Kwa sasa Mkuu wa Mkoa anayeonekana kufaa kwa kelele ni wa kule Mbeya. Amekuwa kama kinara wa kuonekana sana kuwashinda wenzake. Na hapo ndipo tunawapo wakumbuka akina Makonda na wenzake.
Lakini pia kuna watu wanapenda sana uongozi lakini kama uongozi hauwataki wao. Makonda bado ataendelea kuwa kinara wa enzi zake. Inaonekana kama uongozi unampenda sana Makonda. Absence yake bado inaonekana sana mpaka leo mjini DSM.
Sio kila mtu anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM na Arusha. Makonda kafanya transformation nyingi sana mkoani DSM
Ni kweli usemacho mkuu,Kuna shida gani hapo machinga complex mkuu?
Ishu ya machinjio na masoko ya kimkakati ndio muhimu zaidi hapo Daslamu.
Labda hiyo kamati nayo ina kula raha kuliko binadamu yeyote...Ni kweli usemacho mkuu,
Kuna ufisadi hapo mkuu, nakumbuka kuna vibilioni kadhaa mahesabu yake yalikuwa hayaeleweki, ikasemekana itaundwa kamati kuchunguza hilo, mpaka leo kimya, jengo limegeuka makazi ya buibui halina faida yeyote.
Si wabadili tu matumizi.
Bila shaka mkuu,Labda hiyo kamati nayo ina kula raha kuliko binadamu yeyote...
Huyo mwanri alikuwa na chanel yake? Acheni ujingaujinga!Hasa Makonda jiji limepoa sana, limekuwa ka mkoani vile
Mwanri pengo sikuizi siingii YouTube kabisa kuona vituko vyake
Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo.
Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako sawa. Ule usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi mkoani DSM kama imekosa muendelezo wake. DSM imekuwa kama sio Jiji Kuu la biashara tena.
Kule Arusha nako zile heka heka za hapa na pale hazisikiki tena kwenye vyombo vya habari hata kwenye mitandao pia. Tabora ama Toronto chini ya Mwanri imekuwa kimya sana hata attention ya media sio sana. Kadhalika kule Manyara kwa Mnyeti kuko kimya sana.
Mara nyingine unaweza usiwajue hata Wakuu wa Mikoa hiyo kwa majina yao. Wamekuja na style mpya kabisa ya kuongoza mikoa hiyo.
Na hapa ndipo unapoweza kujua uongozi sio tu kuwaletea maendeleo watu bali pia jamii inakukubali kwa kiwango gani.
Kazi za hawa Wakuu wapya wa mikoa zimekuwa hazionekani sana kama za watangulizi wao, zimekuwa kama kazi za wahandishi wa maji, wanafanya kazi kubwa sana lakini hazionekani kwani baada ya kumaliza kazi zao huwa wanafukia mabomba chini ya ardhi na kuzificha udongoni.
Kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanashindwa na Wakuu wa Wilaya katika kuonesha uwezo wao wa kusimamia mambo. Kijana kama Ole wa Hai anaonekana sana kwa kuwa muibuaji wa mambo mengi.
Kusema ukweli kuna mikoa hasa hasa DSM na Arusha inawahitaji wakuu wa mikoa wenye kelele nyingi kwa sababu ya asili ya mikoa yenyewe. Kwa sasa Mkuu wa Mkoa anayeonekana kufaa kwa kelele ni wa kule Mbeya. Amekuwa kama kinara wa kuonekana sana kuwashinda wenzake. Na hapo ndipo tunawapo wakumbuka akina Makonda na wenzake.
Lakini pia kuna watu wanapenda sana uongozi lakini kama uongozi hauwataki wao. Makonda bado ataendelea kuwa kinara wa enzi zake. Inaonekana kama uongozi unampenda sana Makonda. Absence yake bado inaonekana sana mpaka leo mjini DSM.
Sio kila mtu anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM na Arusha. Makonda kafanya transformation nyingi sana mkoani DSM
Yesi suala la vibaka kwa Dar limerudi kwa kasi ya ajabu sana.Nadhani makonda aliudhibiti huu mkoa.Ingawa unanipa shida namna ulivyoandika,
Itoshe kusema una POINT,
Mfano, Vibaka wamerudi kwa kasi, supersonic speed,
Hongera Unaakili kubwa sanaHuyo mwanri alikuwa na chanel yake? Acheni ujingaujinga!
Umeisha pima tezi dume mkuu?Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo.
Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako sawa. Ule usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi mkoani DSM kama imekosa muendelezo wake. DSM imekuwa kama sio Jiji Kuu la biashara tena.
Kule Arusha nako zile heka heka za hapa na pale hazisikiki tena kwenye vyombo vya habari hata kwenye mitandao pia. Tabora ama Toronto chini ya Mwanri imekuwa kimya sana hata attention ya media sio sana. Kadhalika kule Manyara kwa Mnyeti kuko kimya sana.
Mara nyingine unaweza usiwajue hata Wakuu wa Mikoa hiyo kwa majina yao. Wamekuja na style mpya kabisa ya kuongoza mikoa hiyo.
Na hapa ndipo unapoweza kujua uongozi sio tu kuwaletea maendeleo watu bali pia jamii inakukubali kwa kiwango gani.
Kazi za hawa Wakuu wapya wa mikoa zimekuwa hazionekani sana kama za watangulizi wao, zimekuwa kama kazi za wahandishi wa maji, wanafanya kazi kubwa sana lakini hazionekani kwani baada ya kumaliza kazi zao huwa wanafukia mabomba chini ya ardhi na kuzificha udongoni.
Kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanashindwa na Wakuu wa Wilaya katika kuonesha uwezo wao wa kusimamia mambo. Kijana kama Ole wa Hai anaonekana sana kwa kuwa muibuaji wa mambo mengi.
Kusema ukweli kuna mikoa hasa hasa DSM na Arusha inawahitaji wakuu wa mikoa wenye kelele nyingi kwa sababu ya asili ya mikoa yenyewe. Kwa sasa Mkuu wa Mkoa anayeonekana kufaa kwa kelele ni wa kule Mbeya. Amekuwa kama kinara wa kuonekana sana kuwashinda wenzake. Na hapo ndipo tunawapo wakumbuka akina Makonda na wenzake.
Lakini pia kuna watu wanapenda sana uongozi lakini kama uongozi hauwataki wao. Makonda bado ataendelea kuwa kinara wa enzi zake. Inaonekana kama uongozi unampenda sana Makonda. Absence yake bado inaonekana sana mpaka leo mjini DSM.
Sio kila mtu anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM na Arusha. Makonda kafanya transformation nyingi sana mkoani DSM
Kweli kabisa. Kunenge anafaa kuwa kuhani wa kanisa Mbagala . Dar imechoka afadhali Morogoro ya mmasai. Rais peleka huyu kunenge maendeleo ya jamiiTangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo.