Hiyo editing ni ya kwako.Msanii aliandika hivi
Wazee wa fotoo shooopuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo editing ni ya kwako.Msanii aliandika hiviView attachment 1998544
Mtaedit hadi mtaota sugu kwenye vidole vyenu lkn ukweli utabakia kuwa mh Mbowe siyo gaidi.
WanajichoshaWazee wa fotoo shooopuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haswaaa lkn hao vijakazi wa lumumba kwao kila kitu ni ku edit tu.Hiyo editing ni ya kwako.Msanii aliandika hiviView attachment 1998544
Mtaedit hadi mtaota sugu kwenye vidole vyenu lkn ukweli utabakia kuwa mh Mbowe siyo gaidi.
Kwa vijakazi wa lumumba kwao kila kitu ni kuongeza 0.
Hayana aibuuuu hata kidogooHaswaaa lkn hao vijakazi wa lumumba kwao kila kitu ni ku edit tu.
Kigwangala nili mdharau sanaaaa
Wamelaaniwa na watu wanaopata mateso kisa fitina zaoHayana aibuuuu hata kidogoo
HUYU NI MAZAAAAAAMA YAKO NAMJUA.
Hahahahaha......bwashe hiyo picha ya ke unaona siyo OG?Hicho kibonzo ni original?
UshamuumbuaHiyo editing ni ya kwako.Msanii aliandika hiviView attachment 1998544
Kwanini huu uchafu haujafutwa hadi muda huu ?
Mama anajua kupendeza aiseeeeeeeee!.