Recent content by Ndege Johnn

  1. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Excel sehemu ya pili

    Nimefurahiswa na mafunzo mliyotoa, naomba video ya Excel sehemu ya kwanza siionI?
  2. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya watu, hatari zaidi katika jamii?

    Rudi basi huku, usije kutana naye huko ikawa shughuli [emoji38][emoji38][emoji38]
  3. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Halotel ni "jipu", wamepaandisha gharama za vifurushi na data zinakamilika haraka

    Utakuwa na Tecno ya tochi si bure wewe, be serious mb zao zinaisha faster
  4. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Mahabat ya Tanga yamepelekea upatanisho[emoji855][emoji855][emoji855][emoji23]
  5. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Watumishi 450 washinda rufaa ya vyeti feki, hakuna mishahara mipya

    Mwenye hayo majina atupie, huenda ni zaidi ya 450, kazi kweli kweli[emoji855][emoji855][emoji855]
  6. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kula karanga na asali

    Napita tu
  7. Ndege Johnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Bahati mbaya nimetuma video za ngono kwenye group la familia bila kujua

    Jitume nawewe....[emoji38][emoji38][emoji38] maliza noma lako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Mmmmh [emoji87][emoji87][emoji87]
  9. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Unakubali kuwa mke mwenza?
  10. Ndege Johnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za kwenda kujitambulisha kupata uchumba

    Taratibu za kwenda kujitambulisha zinategemeana Kabila MMOJA na jingine au taratibu utakozoelekezwa kupitia kwa Michumba WAKO, taratibu za kawaida, unamuandaa mshenga na baadhi ya ndugu na huyo mshenga awe walau anafahamu mila au taratibu za lile Kabila, utaandika barua ya kuomba uchumba kwa...
  11. Ndege Johnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake uliowaweka kwenye danger zone /anytime utawagegeda

    Kaaaaah kuna mtu atafumaniwa kunaswa bila kuchomoka Kisa kwich kwich[emoji12][emoji12][emoji12]
  12. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vyangu vya ndani vya kisasa..bei chee!

    Fridge bei gani? Ninaihitaji
  13. Ndege Johnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

    Dad at what kwich kwich am I born?[emoji854]
  14. Ndege Johnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

    Dad me in birth number?[emoji15][emoji13][emoji13][emoji13]
  15. Ndege Johnn

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Hujaya download hapo Juu mkuu[emoji87]
Back
Top Bottom