Madhara ya kula karanga na asali

Madhara ya kula karanga na asali

Syphilis.jpg
Kwahiyo wanao athirika ni wazungu tuu?maana mie naona "tuboro yang" twa kizungu tu hapa,ebu weka "miboro yang" ya kinyamwezi kwanza....
 
Dushe linasimama sana

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
Jaman nisaidien mm nikipiz manii mengi yanabaki kwenye due hadi nikamue na mkono yan hayatok yte kwa ile presha ya kupiz

Sent from my GT-I9205 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna tatizo kama hilo LA Hiyo picha kwa kula Katanga na asali zaidi ya Hapo ni kuongeza nguvu tu uwepo kileleni

Sisi wengine mikoani kwetu tunalima Katanga na tunafuga nyuki Hiyo kwetu ni kitu ya kawaida na hatujapata hayo madhara hadi tunazeeka

Sent from my itel_it1502 using JamiiForums mobile app
 
Jaman nisaidien mm nikipiz manii mengi yanabaki kwenye due hadi nikamue na mkono yan hayatok yte kwa ile presha ya kupiz

Sent from my GT-I9205 using JamiiForums mobile app
Utakuwa na nguvu za Kike Mda si mrefu utaanza kutamani kukamuliwa
 
Kwani Kama ubaya nikula je kutokula kuna ubaya gani

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jaman nisaidien mm nikipiz manii mengi yanabaki kwenye due hadi nikamue na mkono yan hayatok yte kwa ile presha ya kupiz

Sent from my GT-I9205 using JamiiForums mobile app
Kwisha Habari yako mjomba. Kapime gonnorhea na kaswende. Uende na wapenzi wako wote mpate matibabu
 
Mimi nilikula karanga na asali ilikuwa nife Alisha sana tapika kidogo nife

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikula karanga na asali ilikuwa nife Alisha sana tapika kidogo nife

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Labda maandalizi uliyotumia lakini me haipiti week bila kula huo mchanganyiko, naweka karanga mbichi kwenye kibakuri na asali kiasi sio asali izizidi karanga ni kile kiasi kufanya karanga zote ziwe na asali tu!!.
 
Mimi Ndio milo yangu hiyo, inanifanya nakamua mbaya kwa watoto wazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo wanao athirika ni wazungu tuu?maana mie naona "tuboro yang" twa kizungu tu hapa,ebu weka "miboro yang" ya kinyamwezi kwanza....
Wanaathirika na nini? nikumbushe maana sikumbuki. Na hii picha inahusu nini maana nayo wala sikumbuki niliwekaje hapa kwenye hii mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom