Recent content by ndechilio shoo

  1. N

    Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    Napenda kusoma Bible kwa mitaza mo tofauti,mfano uongozi,familia,hekima,ndoa,saikolojia,nk,Vitabu vitakatifu ni vizuri pia vinatoa mafunuo na kugusa maisha ya watu na kuwarudisha kwa Muumba wao,
  2. N

    Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    Napenda kusoma Bible kwa mitazamo tofauti, mfano uongozi, familia, hekima, ndoa, saikolojia, nk Vitabu vitakatifu ni vizuri pia vinatoa mafunuo na kugusa maisha ya watu na kuwarudisha kwa Muumba wao,
  3. N

    Atakayeniwekea aya inayosema "Jisaidie nami nikusaidie" kutoka kwenye Biblia au Quran nampa 20,000 bila kipingamizi

    Nimesoma bible nimemaliza na nimesoma hili andiko halipo pia watu wanakosea kusema asiyefanya kazi asile,usahii ni Asiyetaka kufanya,coz ana uwezo wa afya nk lakini ataki,Neno la Mungu ni lina pumnzi utakiwi kupunguza wala kuongeza,sio hadithi za shabani robat
  4. N

    Hawa wake zetu ni shida

    Brother ulikosea,mwanamke haulizwi hivyo,Ungemuuliza Mama john pole kwa usumbufu wa watoto,unasema hata wangu au wa mjomba hivi hivi ila wakikuwa wataacha,pole sana ikifika jioni upo hoi ,uone angefunguka balaa,wewe unatakiwa kuongea hisia zake kwa muda huo
  5. N

    Dadiii...... Loving you....

    K matata ,napenda k yako,pm please
  6. N

    Men’s essentials

    K.matata badilisha jina linanipa hamu
  7. N

    Natafuta mume wa kuishi nae

    Ni pm
  8. N

    Mnaohisi mmefanikiwa katika maisha kuweni makini

    Hili kwangu ni jambo la kawaida sana yamenitokea sana ,akikufanyia hivyo,be cool pambana na harakati zako ipo siku umtakutana na atakuwa na heshima,hali hiyo ikuchochee kufight kwenda mbele zaidi,pia be cool usilalamike kwa mtu iwe siri na ipo siku mtu atalalamika anawapotezea watu,kumbe hata...
  9. N

    Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

    Tenda miujiza usiache Bwana mwaka huu upite,bila kutenda miujiza,Ee Moyo wangu amka umwimbie Muumba wako aliyekulinda usiku ,akuonge maisha,Nk
  10. N

    Nashindwa kumuelewa

    Kwa uzuri uliyo nao aisee anakupotezea muda tu,ni pm
  11. N

    Hii umewai kuona

    Habari Ndugu zangu humu?hamjambo !kipindi nipo seminary miaka ya 10 iliyopita,nimelala kitanda cha juu ,kumbe anayelala chini anavaa chupi za kike,ana mwili mkubwa,nilijua kaiba kwa mabinti,bweni zima walikuwa wanajua na wanaogopa kuuliza ,nikamuuliza jamaa mbele za watu ,alisema chupi za kiume...
  12. N

    nafasi ya kazi udereva

    Nimekuja haraka nilijua mrembo unataka kuendeshwa nitumie fursa
  13. N

    Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

    Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT niliwasaidia wanawake hao kuunda ushirika wao...
Back
Top Bottom