twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,796
Hahaa sijui kama anatimiza wajibu wake vizuri au anasaidiwaDu!. Zitto wewe kiboko!. Mbona vitabu vingi sana, unapata muda kuvisoma vyote saa ngapi?.
Mwenzako analala na mafiles wewe si utakuwa unalala na vitabu?. Kama unalala na vitabu, jee unapata muda wa kulala na 'kulala'?.
P
Sent using Jamii Forums mobile app