Boogie Woogie na K Matata.....

Boogie Woogie na K Matata.....

Again,nonsense,potelea mbali na dudumizi lako,tumechoka na stori Zako za kizushi!

Duuh pole mwaya, ningekuwa karibu ningekupa glasi ya maji maana si kwa kujitoa kimasomaso huko hehehehehe.

Yaonesha umechoshwa kwelikweli ati dudumizi hehehehehehee asante kwa jina jipya.... Kesho ntamwambia jina lako jipya ni dudumizi and it sounds romantic to me.... is it nonsense too...!!??

Heheheheee sorry but you have to either get used to it or put in your ignored list.
You'll save your day and energy.

Halafu mtu akikuchoka na akwambia usoni ujue uvumilivu uko negative, hongera kwa ujasiri mwaya hehee.
 
ha ha ha ha,mapenz ni matamu sana na hii baridi, mko wawili mnapata nyama choma kinywaji kwa pembeni,mziki laini unajikuta kutamani kuishi miaka 200

Yaani ukiyapatia mapenzi ni sabuni ya roho, u atakata tuu hata njaa husikii.
 
Duuh pole mwaya, ningekuwa karibu ningekupa glasi ya maji maana si kwa kujitoa kimasomaso huko hehehehehe.

Yaonesha umechoshwa kwelikweli ati dudumizi hehehehehehee asante kwa jina jipya.... Kesho ntamwambia jina lako jipya ni dudumizi and it sounds romantic to me.... is it nonsense too...!!??

Heheheheee sorry but you have to either get used to it or put in your ignored list.
You'll save your day and energy.

Halafu mtu akikuchoka na akwambia usoni ujue uvumilivu uko negative, hongera kwa ujasiri mwaya hehee.

Hahaaa nikupe wewe pole...

Mapenzi gani mwanaume yuko mafichoni,bibi narudia,bibi kila siku dadiii this dadiii that,,,??..

Pole wewe hakupendiiiiii sitaki unafki nisiende mbinguni,angekua anakupenda asingekuacha uhangaike hivi kila siku kutaka kuprove umekolea kwake.....again pole!

hii ni JF heshimu huu mtandao hivi members wote tungekua na dadii this dadii that,hii JF ingekuwepo Leo Kama JF,??,,wewe mwenyewe umejiandikisha kuburudika,kuelimika,,,hivi members WOTE wangekua Dadii this,dadii that ungejiandikisha??

Upuuzi peleka Kwako Nyau we!
 
Woow, sikujua iko serious kiasi hiki aiseeh.

Hata hivyo siko mzuri sanaaa kwenye kupashana maneno ingekuwa nyimbo za mahaba aahah tungekesha hapa ila hizi mambo unazoleta hapa..... nakuachia peni na karatasi.... toa dukuduku lako lote hadi liishe kesho uamke na tabasamu ili siku ukienda mbinguni usiwe na nyongo yoyote iliyokukaa kooni.... tapika mamaa kwa raha zakoo.

Labda nimalizie hivi, Kasinde aka Kasie aka K' Matata ni mama crush mama Mahaba bibi mapenzi bin kigagula mpenda ngono na wanaume.

Kuhusu Dadii maadamu yeye anajijua na twajuana basi memba wengine humu itabaki kusoma tuu kuhusu Dadii na K' Mahaba. Ikiwa habari za Kasie zinakukera basi muweke kigagula Kasinde kwenye ignored list yako wako wanaoburudika na hizi nonsense za Kasie waache waendelee kupata mautamu.

Laah ukishindwa uvumilie tuu Mahaba ya Kasie na Dadii ndo habari yetu.

Kasinde Tosimbana Kotoko...

Igholoo Kiochedii Goshawediii....
 
Ni mautamu tuu kwa kwenda mbelee hehehee
Maisha yanaitaji faraja,na faraja yake ni mapenzi,tunapambana tuwe na maisha mazuri lakini mwisho wa siku faraja yetu ni mapenzi.tukubali tukatae ndio hivyo.
 
Kweli kabisa....

Kila la heri kwako.
 
Woow, sikujua iko serious kiasi hiki aiseeh.

Hata hivyo soko mzuri sanaaa kwenye kupashana maneno ingekuwa nyimbo za mahaba aahah tungekesha hapa ila hizi mambo unazoleta hapa..... nakuachia peni na karatasi.... toa dukuduku lako lote hadi liishe kesho uamke na tabasamu ili siku ukienda mbinguni usiwe na nyongo yoyote iliyokukaa kooni.... tapika mamaa kwa raha zakoo.

Labda nimalizie hivi, Kasinde aka Kasie aka K' Matata ni mama crush mama Mahaba bibi mapenzi bin kigagula mpenda ngono na wanaume.

Kuhusu Dadii maadamu yeye anajijua na twajuana basi memba wengine humu itabaki kusoma tuu kuhusu Dadii na K' Mahaba. Ikiwa habari za Kasie zinakukera basi muweke kigagula Kasinde kwenye ignored list yako wako wanaoburudika na hizi nonsense za Kasie waache waendelee kupata mautamu.

Kasinde Tosimbana Kotoko...

Igholoo Kiochedii Goshawediii....

Hahaaa kuna wanaoburudika na ujinga unaopost humu??ningependa wanyooshe vidole juu tafadhali....😂😂😂

Sijui historia yako but I guess umezaliwa peke yako au mtoto wa Mwisho,hii mitoto huwaga inapataga full attention kutoka kwa wazazi na hivyo kujiona important ...No hakuna anayefurahia mashudu yako usijione uko juu mpuuzi wewe....INFACT tunasomaga topics zako kwa ukakasi km kumuona mkwe kakaa vibaya....Yaani kumuona Mtu anavuta penzi kwa nguvu zote Kama unavyofanya inaumiza macho 😢😢😢😢..eti mnaelewana na dadii yako,hasa km mnaelewana unatuletea mashudu yako hapa jamvini Ili iweje?si mmalizane huko kwa huko?Stupid.
 
Hahahahahhahaaa Dadiiiii uko juu, watu wamekasirikaa. ...... watu wanataka kukuonaa. ... watu wamechokaaa
Watu wanasoma kwa ukakasi kama kumuangalia mkwe kakaa uchi hehehehehe

Waalah ukijitokeza Dadii watakuiba sio kwa wivu huu hehehehehehe shauri yako.

Ujue haiwaingii akilini eeehh, Kasie kizee hakina mvuto hata halafu atii Dadii anampenda Kasie hahahahahaha

Sasa Dadii, mie naweza kweli kukaa bila kukuanzishia nyuzi humu..... ni sawa na kuniambia nikae bila kutabasamu siwezagi mambo ya kununa na kukasirika....

Mahaba Mia Mia kwako Dadii hadi Maxence anifutie kibali cha kuandika humu. Uzuri wake mwanzishaji wa hii forum ni muelewa na mstaarabu ukiwa unaongea nae hata huwezi jua unaongea na mtu mwenye kampuni yake. I respect you Max, nisamehe kukutaja hapa ila uko vizuri sana na asante kutujali wateja wako.

Dadiiiii hapa hata usitie wino najua unatamani kuandika ila ukiandika utawapa tiki, acha walale nacho hiki ni kidali pooo kwao.

Nashukuru maana wamenitia chachu kuendelea kuandika nyuzi za mahaba.

K' Matata.
 
Hahaaa unacheeeeeka,Cheko la maumivu hilooo 😂 😂,Jikaze na uendelee ku mask maumivu yako,kigagula we!

Eti wanakuonea wivu,Nani na Nani?? Wataje??tusiache kuwaonea wivu real couples humu,tuje kukuonea wewe na dubwana lako ambalo liko mafichoni,kila siku dadii,dadii hata haliji kusema mamii mamii....inasikitisha mpaka uzee ulionao hujajua your worth....

na usimuingize Max humu,unajua umemention kijanja ili apate attention yako,anilime ban,NO,hata yeye anajua unamisuse privilledge aliyokupa kutumia mtandao wake kwa kuingiza mambo yako ya private humu,,,Kenge we!

I will be back,me and you Kasie until death do us apart,sikuachi ng’oooo...weather lidadii lije kuandika humu,lisije yote poa,tena litakua hopeless Kuwa na mwanamke fake Kama wewe....,
 
Inawezekana nyie mnajuana kiundani zaidi,ingawa jf ni sehemu ya kuondoa stress tu,kama watu wanachukulia siriazi ndio tatizo lilipo.
 
Daaah yaani kumbe ulimwenguni kuna watu wa sampuli za kila aina eeehhh hahahahhhaaaa nilikuwa sijui. Jana nililala na cheko na bado nimeamka na cheko heheheheheheheheee.

Ujue nini, sitaki na wala sina upako wa kujibizana anayejisikia kutapika ruksaaa wino upoo ukiisha tumieni mate. Ila sijui niweke records sawaa halafu nikae kimyaaa au niachee......

Ila hata nikijibu ili niweke records sawa ili iweje..... Mie shida yangu mahaba.... maadamu nayapata maneno ya mpangaji / mpita njia hayanibadilishi muelekeo wangu hata kidogo.

Haya kumekuchaaa kumekuchaaa muda wa kuachia vyumba ndo huu nshashiba burekifast na funguo nsharudisha kwa wenyewe. Hapa nabarizi tuu kwenye mgahawa huku nikitabasamu. .....

Tukutane baadae Boogie Woogie.... Wale wadau wa Kasie Mahaba mkujee kwa wingi hehehehehe.

Jumapili ndo hii niko hapa mwanzo mwisho twende kazi. Pamoja na yooote, humu JF ntaishi ntavyotaka mie sio watavyotaka wao.

Hata sie wanayamwezi ni kawaida yetu kama ilivyo kawaida ya jirani zetu...... hatupangiwi cha kusema wala cha kuandika.

Nikijisikia tuu na minyege ikipanda tuu basi ni Mahaba kwa kwenda mbele na uzi juu, nisipojisikia naweza nikakaa kimya vile vile si kuwa sina jibu, napuuzia tuu......

Wajua nini, bibi yangu hakusoma ila alikinyaka kiingereza cha mkoloni na kabla hajarudisha namba aliniambia; "mjukuu wangu Kasinde, at this young age learn with your heart that; cooking is an art, writing is an art, singing is an art, talking is an art, listening is an art and so forth.
Even if you have all the certificates, if you are not an artist.... yes you'll do those things but not to that extent".

Hahahahahhahaa tangu hapoo, Kasinde ni Mahaba mahabaa ni Kasinde hakuna kuachana, full Artisan K' Mahaba Matata. Asante bibi yake Kasie kunitunuku maana with the art I have, I have it all.....

Halafu nilijua nikiamka asubuhi ntakuta watu wamenyoosha vidole kuwa hawapendi mautamu ya nonsense hehehehehehehheee wapi hata sijaona au labda walinyoosha halafu wakafuta mie sijaona....

Hapana cheza utamu weweee hehehehehheee, watu wanapenda sana mambo ya kijinga sasa jiulize kwanini?

Mwenye jibu atupatie tafadhali na mwingine naomba atuangalizie ni wangapi wamesoma hizi nonsense labda ndo tutajua idadi ya walinyoosha vidole.

Nawatakia jumapili njema yenye utulivu wadau wa Mahaba.

Mahaba Oyeeeeh.

Nonsense jeee.....!!?? Oyeeeeh au ziiiiiiii

Aahahahahahahha haaaa

Hey Kasiba....what did you do to her? She is so bitter and angry at you!

Did you *** her man or something??

Hahahahaa.....just asking....
 
Ila Dadii, ujue nimegundua nini, shida hapa sio mahaba wala Kasie; shida hapa ni wewee. Wanataka kumjua huyo Dadii huyoo na hizi chokonoa chokonoa ni ili Dadii atoke huko mafichoni, tena ushapewa na jina la kuniita ati mamii mamii eehehehehehehheehee.

Dawa yao ni kuendelea kuwaunguza tuu, wakichoka kweli kusoma habari za Dadiiiii suluhisho wanalo.

Cheers Dadii ake Kasinde.

Hahahahahhaa nimejikuta nimewaza, hivi mtu akiwa kizee Dadii ake anakuwaje. ..... aahahahahahahaaa Dadii utakuwa zaidi ya kilembwe weweee aahahahahahhaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom