Recent content by ndavandava

  1. N

    Vipi hali ya mvymua katika eneo ulilopo?

    Huku chanika tangu usiku hadi asubuhi hii ya saa nne bado inanyesha tena kubwa sio mchezo maji kila sehemu.
  2. N

    TBA na EWURA CCC kitengo cha walaji zifumuliwe haraka au zifutwe kabisa

    Kwa kweli umeongea jambo jema kabisa hasa suala la umeme kama huku chanika mimi nina friji inanibidii niamke alfajiri sana na kuwasha friji. Ikifika saa tatu asubuhi inazima yenyewe kwani muda huo matumizi yanakuwa makubwa. Kwa maana wengi watakuwa tayari kazini wamewasha vyombo mbalimbali hivyo...
  3. N

    Vodacom na bado mtafilisika kabisa

    Wenzao Airtel shs 2000tuu GB1 siku tatu voda shs 2000GB1 24hrs only.shit!
  4. N

    Kodi ya gari hii itakuwaje ikifika Dar

    Dah hiyo ni gharama kubwa sana kwenye kodi bora kununua hapa hapa Tz.
  5. N

    FAO LA KUJITOA: Tundu Antipas Lissu Kupigania Wafanyakazi

    Mimi nimepewa fedha yangu toka Nssf tawi la waterfront bila shida yeyote. Nilipeleka form zangu za kujitoa nimekaa mwezi kisha nikaambiwa nikae mwezi nilipokwenda ni kapewa cheque bila shida. Sijatimiza hiyo miaka 55 nina 51yrs. Isipokuwa nilikuwa nafanyakazi chini ya ubalozi kwa kweli ya Mungu...
  6. N

    UKATA: Biashara ya maji ya kunywa yaanza kudoda

    Na biashara ya bodaboda wale waliozoea kupanda hata sehemu fupi kwa sasa wanatumia tz 11 yaani miguu kusave badget hakuna ubishow tena kwa sasa!!!!.
  7. N

    Mahakama ya mwanzo mjini Morogoro imulikwe

    Mahakama za mwanzo ni kama mabaraza ya usuluhishi tuu naona hakuna sheria kabisa zinazofuatwa kwa kweli. Kesi inaweza kwisha kisha ikaanza tena hapo hapo hiyo ni sawa kweli.
  8. N

    Shule za Dar kushika mkia matokeo ya kidato cha Nne, Makonda jitafakari na ikiwezekana jiuzulu

    Jamani wadau kwani jana waziri alitangaza matokeo hayo kupitia TV. AU watu wanazusha tuu!
  9. N

    Wabunge tusaidieni, local channel tunalipia mpaka tushachoka

    Dah kwa kweli hii hali imekuwa kimya kimya tunanunua vifurushi kwa local channels kwa bei kubwa na TCRA wapo kimya.
  10. N

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Uchaguzi umekwisha na kuhesabu kura kumemalizika Trump 288 na Hilary 215. Trump ni Rais wa Marekani tayari. Wakae mkao wa kujiandaa viongozi wang''ang'anizingua wa Africa wasiotaka kuachia madaraka kirahisi.
  11. N

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Trump tayari ni Rais wa Marekani kwa Electoral map kwa sasa ni 247 na Hilary ni bado ili ile 215. NA Tayari Trump kawasiri Election Headquarters. IT.
  12. N

    Waziri wa katiba na sheria, Mwakyembe; Nini hatma ya hawa wanyonge waliositishiwa ajira za mahakama?

    Pia wapo wa kwenye Elimu waliotakiwa waajiriwe walipomaliza kozi ZAO za ualimu.
Back
Top Bottom