The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,249
Huku kwetu madale ni sikukuu watu hatujaenda kazini ni kila baada ya "shughuli" kidogo ni kuoga maji ndembwe ndembwe
Hivi mikoa mingine nako inanyesha?
Dodoma mjini hapa kukavuuuu!Hivi mikoa mingine nako inanyesha?
Hahahhaaa.Huku temboni, nachungulia tu dirishani mvua inanyesha kwa speed ile ile toka saa 11 alfajiri...
Wacha nivute blanket...
Mvua ikikata tegemeeni chemchem wiki Kazaa kama ile barabara ya kwenda kwa dkt kundy na African schoolAlhamdullilah,hapa Tabata Changombe mvua imechapa ile mbaya,madimbwi makubwa saana saaana tena saaana,barabara imeharibika vya kutisha.
Tunacho ogopa ni maradhi ya mlipuko,maradhi yanayoambukizwa na mbu.
Hahah umetisha man!Hapa IKULU Mtaa wa Barack Obama ndo tunaamka, tupige chai na supu ,mvua inanyesha tunamsubiri kijana wetu mpendwa Konda ashuke airport kutoka Chuga na Jeans yake yenye matobo.
Wacha nilale tu, ikiisha nitatoka. Najua huko barabarani ni adha tuHahahhaaa.
Mkuu kama una mpango wa kutoka toka tu. Ila ukibaki hom ndio unaona uzito kuanza safari.
Mkuu kiluvya ni dsm?Kiluvya dsm unapajua ? Tumelala nayo tumeamka nayo ,aridhi imejaa maji Ni tope balaa
DengueAlhamdullilah,hapa Tabata Changombe mvua imechapa ile mbaya,madimbwi makubwa saana saaana tena saaana,barabara imeharibika vya kutisha.
Tunacho ogopa ni maradhi ya mlipuko,maradhi yanayoambukizwa na mbu.
Kwani JF ni ya wana DSM pekee!?jamani tuwe serious kwa kupeana taarifa za ukweli.
huu uzi ni muhimu sana kwa mustakabal wa wana Dar huko barabarani.
Ni Dsm mkuu ukitoka kituo cha madukani kuelekea maili moja kuna daraja ndio linatenganisha kati ya dsm na pwaniMkuu kiluvya ni dsm?
Maji kila sehemu wapi mkuu nataka nije huko maana sasa hivi kuna mitaro ya maji pale chanika mwisho tofauti na kipindi cha nyumaHuku chanika tangu usiku hadi asubuhi hii ya saa nne bado inanyesha tena kubwa sio mchezo maji kila sehemu.
Nasikia daraja la Kiluvya limekatika, ni kweli?Ni Dsm mkuu ukitoka kituo cha madukani kuelekea maili moja kuna daraja ndio linatenganisha kati ya dsm na pwani