Recent content by ndalemye

  1. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Ukisikia mme bwege na ww ni Mmoja wapo
  2. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

    Ww endelea kumpigia debe, kwa hayo malipo kiduchu aliyokulipa, but now ni wa mainzi kukaa pembeni atuachie mpira wetu
  3. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

    Sina uhakika sana na uwezo wako wa kufikiri, kwa lipi alilofanya huyo mainzi wako pale tifua tifua mpk umpigie debe, km mnapiga wote basi ni mda wenu wa kukaa pembeni mtuachie mpira wetu, shiit mainzi
  4. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kibajajitz anatuua na arosto hukuu
  5. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Ni kwel mkuu, ila nayo imeishia njiani imeniacha arosto
  6. ndalemye

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

    Mm nimeshachukua form veta ya kujifunza udereva, haaaa haaaa makinika oyeeeee
  7. ndalemye

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

    Makande yaliyoungwa kwa nazi na chai haaaaa
  8. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Pamoja sana kibajaji, kz nzr
  9. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Asante sana mkuu
  10. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Good Jobo LEGE, thankx
  11. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kazi nzr sana unafanya kibajajitz, inastahili pongezi, bigup sana
  12. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Mm siipati mkuu
  13. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Itaendelea lini mkuu, maana hizi ndizo riwaya za ukwel
  14. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mchumba wangu kukataa nisishike Android yake, japo nilimununulia mimi pale Mlimani City

    Km unataka kuachanana nae endelea kung'ang'ani kutaka kukagua simu yake
  15. ndalemye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Mi niliishia season 4 episode 6 muendelezo nitapata wap mkuu nami nimslize?
Back
Top Bottom