QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

hizi habari mbaya sana kwetu hivi mtu unapata faida gani kwenda kumchomea lege jamaan na wakati anatupa story bure tu roho mbaya sana hii zaidi ya uuaji
Wamemremove alikokuwa anatoa story

Hizi taarifa umezipata wapi?

Tulikuwa group moja

Wamemjua vipi? Kwa maana hiyo wewe unayo season 5 yote.

Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaisha

Oh! Kwani hata huko unatumia jina hili hili? Kama hivyo alikosea. Jina la hapa ni kwa ajili ya hapa tu.

Naomba basi uturushie hicho kipande kidogo kilicho tayari.
 
hii story imeletwa humu toka Feb 14,2017 hadi leo June 18,2017 ina miezi 4 sasa haijaisha,ni Arosto kwa kwenda mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom