Recent content by ndago26

  1. ndago26

    JamiiForums Tanzania TANAPA yapata tuzo ya ubora wa huduma

    Shikamoo baba Jeska.
  2. ndago26

    JamiiForums Tanzania Mchungaji akamatwa na Polisi akituhumiwa kumnajisi Mwanafunzi

    Angalizo, Mchungaji kabaka tusiliukumu kanisa, shekhe akibaka tusiuukumu uislam nazani tumeelewana.
  3. ndago26

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi habari kumhusu huyu mzungu ni za kweli?

    Ebu! Ni ulizie hapo kwa bwashee kuna pepsi baridi.
  4. ndago26

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu, Dar: Rais Chakwera amfagilia Rais Magufuli, atamani kushikilia koti lake ili aende kwa kasi yake

    Naweka ahadi chiba akipita kwenye kinyanganyilo cha uraisi mimi nitajiua,
  5. ndago26

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Naitaji offer zenu. nipo moro
  6. ndago26

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge la Bajeti kuanza kesho na kumalizika tarehe 28 Juni 2019

    Mbunge wangu sijui atakuwepo... maana malayamwisho kumuona akiwa anajitambulisha ndio mpaka leo sijamuona. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ndago26

    JamiiForums Tanzania Hivi Gari yangu nikipiga rangi hivi, je wale jamaa wa gwanda wataichukua?

    Ushakula? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ndago26

    JamiiForums Tanzania Kapiga simu nyumbani wamfuate, watekaji walao ni wema kumpa simu

    Naskia nguo alizotekwa nazo tofauti na alizoludinazo etikweli?
  9. ndago26

    JamiiForums Tanzania Kapiga simu nyumbani wamfuate, watekaji walao ni wema kumpa simu

    Haaaaaaa..... Nimemmiss dk. Shika, Hivi ile sison yake iliishaje maana nilikua safarini.
  10. ndago26

    JamiiForums Tanzania KAULI 10 ZA KUPONGEZWA ZA IGP SIRRO.

    Sawa nimesha isoma hii taarifa.
  11. ndago26

    JamiiForums Tanzania Dar inawapotezea watu muda

    Baba yangu kazaliwa dsm mama yangu kazaliwa dsm mimi mwenyewe nimezaliwa dsm nimekua na kusomea dsm dsm ndio kama kijijini kwetu kwamaana mimi ni mtoto wa kizaramo kwa sasa nimetoka dsm naishi morogoro mwaka wa tatu sasa na jishughulisha na kilimo cha mabostani ya matunda na mboga mboga ni duka...
  12. ndago26

    JamiiForums Tanzania IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    Tecno comon cx
  13. ndago26

    JamiiForums Tanzania King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

    Je, haya sio ya ngoso?
  14. ndago26

    JamiiForums Tanzania Mambo makuu mawili ambayo kijana wa leo unapaswa kuyatafakari kwa hofu.

    Sina hofu maana siijui hiyo hofu je hofu ni nini?
  15. ndago26

    JamiiForums Tanzania Taja vinywaji ambavyo huwezi kunywa maisha

    mo fire
Back
Top Bottom