Taja vinywaji ambavyo huwezi kunywa maisha

Taja vinywaji ambavyo huwezi kunywa maisha

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
834
Habari wandungu za mihangaiko na tumaini wazima wa afya, mimi bi nafsi niko poa na FOREX any way:
mada ina husu kutaja kinywaji chochote ambacho uli wahi kukijaribu na uka apa hutakaa kukiweka mdomoni kwako tena. mimi nimejaribu vinywaji vingi sana ila baadhi siku patana navyo
mfano mimi.
castle lite (sababu ni kuwa haileweshi hata na haina mzuka ninao taka)
henken (nilipewe kwenye sherehe moja nikaona ina ni chosha na kunipa usingizi bila sababu)
serengeti (siipendi tu huwa naidharau sijui kwanini)
kilimanjaro (naonaga wa mama wanainywa so najua kwabisa kwangu itasoma zero)
juice ya pera hizi za kopo
pepsi
(gesi)
banana (inakondesha sana na usipo kula ina wangua tumbo mno)
burudani (mpya hapana inaingia kwenye ubongo vibaya nahisi haina viwango)
Castle Milk Stout
na sigara japo si kinywa huwa naichukia sana.

GONGO

kuna siku enzi hizo za chuo nilikuwa sina kitu jamaa akatoa wazo kuwa tukanye gongo weeeeeee usijaribu ***** niliamka asubuhi nikahisi nimepigwa ngumi za tumbo usiku, asubuhi ukinywa maji unayasikia hadi mwisho yanapo fika

jack daniel
kuna siku nilikuwa moshi natafuta mahali nitoe lock bwana wee nikaenda maeneo ya dar street nikakuta kuna seheme safi nikaingia nikaiona nikaweka kiherehere nilikuwa sijanywa hata chai aisee nilijikunja kama njoka hadi ikaabidi nipooze na soda kwanza maana machozi yalitoka bila kupenda, nili hisi nimemeza mkaaa

N.K kama nikikumbuka

no-alcohol.jpg
 
Nilipiga k vant mzinga mkubwa bila kuchanganya na kitu..
Balaa likaanza nikaanza kupiga kelele na kuongea kingereza tu....
Nikaanza kuwalazimisha wadau niwapigie mapindi watu ambao hata hawana idea na kitu ninachosoma..

Ilikua ni balaa...mpaka sasa hivi nikiiona kvant naweza kutapika
 
Back
Top Bottom