Recent content by Nchimbi Ausi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya 23027 wadang'anywa na serikali

    we ngoja tu bomu lao karibu linalipuka mana wamezidi uongo.
  2. N

    JamiiForums Tanzania HESLB Posts mambo si mazuri applicants

    jamani huo sio uongo hali ndio ipo hivyo, mimi mwenyewe nimepeleka maombi jana na nimekuta mizengwe kibao. Mi nazani kuna haja ya kuchukulia hatua hii hali maana ikiendelea hivi mambo yatakua sio mazuri. Hawa jamaa wanatusumbua sana haiwezekani watangaze kazi wakati wanajua kabisa watu wanaotaka...
  3. N

    JamiiForums Tanzania St. John interview short list iliyosemekana imetolewa ipo wapi?

    jamani tuambieni ni gazeti gani wametoa hiyolist
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tupeane mawazo wapendwa

    usichoke hiyo ndio reality watu wanavamia ndoa kwa kuangalia vitu vya ajabu ambavyo sio endelevu kama vile pesa, umaarufu, nk so mambo yakiharibika na mapenzi yameisha. kingine hakuna mafunzo ya namna ya kuishi ndani ya familia. wadada wengi wa sasa wanajilemba lakini hawana elimu ya kuishi na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Help (ushauri)

    huyo wako bwana! anakupenda.
  6. N

    JamiiForums Tanzania hodi wenyewe!

    naitwa Nchimbi Ausi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hpa Tanzania. ni miongoni mwa watu wachache sana waliotokea kuipenda taaluma ya ualimu. Huwa napenda sana kujadili masuala mbalimbali ya elimu, siasa na falsafa. Tchao!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mpito kuelekea hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Watu wengi wanaupenda muungano ila wakati umefika wa wananchi kujadili kwa kina aina ya muungano tunaoutaka kwani wakati waasisi wetu wanaunda huu muungano wananchi hawakushirikishwa kikamilifu.
Back
Top Bottom