MWL MTZ
Member
- Aug 12, 2011
- 39
- 2
serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sagini walitoa kauli kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 06 November 2011 walihaidi kuwa kufikia tarehe 15 november majina ya walimu hao yatakuwa yametangazwa na vituo vyao vya kazi. LAKINI MPAKA HII LEO JIONI HAKUNA WEBSITE YOYOTE ILIYOTOA MAJINA HAYO WALA VITUO VYA WALIMU HAO ,
NA HIZI NDIZO KAULI ZA SERIKALI KWA KILA JAMBO HAPA NCHINI.
NA HIZI NDIZO KAULI ZA SERIKALI KWA KILA JAMBO HAPA NCHINI.