Recent content by Ncha

  1. Ncha

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Hawa jamaa walikuwa sio wa kusamehewa. Walitakiwa wakae huko kama watu wengine wenye makosa kama yao. Too sad
  2. Ncha

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana Paka Jimmy na familia zote kwa msiba mkubwa. Mwenyezi Mungu akutie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu. Wapumzike kwa Amani.
  3. Ncha

    JamiiForums Tanzania ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Unajua tofauti kati ya faida na mapato?
  4. Ncha

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi ujenzi wowote wa Serikali kufanywa na TBA ni maagizo toka juu

    Hiyo anayosema atajenga kwa bilioni 10 haiwezekani. ni siasa tu, huwezi shusha ujenzi kutoka bilioni 100 hadi 10. Kwanza hata ukienda National construction council kuna bei elekezi za gharama kwa mita ya mraba, chukua hiyo zidisha mara mita za mraba za sakafu za hayo majengo upate muelekeo
  5. Ncha

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Huyo mtaalam wa chuo cha ardhi ni mtaalam wa nini? Hii stori imekaa kimajungu tu mwandishi anataka kupigia mstari anayoyasema. Ukarabati unaweza kuwa hata wa 1bn inategemea na aina na ukubwa wa nyuma.
  6. Ncha

    JamiiForums Tanzania Huyu housegirl anaelekea kuvunja ndoa yangu sasa

    Wacha ivunjike tuu
  7. Ncha

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    RIP wote waliotangulia mbele ya haki
  8. Ncha

    JamiiForums Tanzania I miss you Paka Jimmy! Where are you?

    NDIOOO, nitakuja huko tujumuike maana ni muda mrefuuu.
  9. Ncha

    JamiiForums Tanzania I miss you Paka Jimmy! Where are you?

    Preta nipoo. Nimekukosa saaaaana pia. Habari za huko? name hao uliwataja siku nyingi kuwaona au kuwasikia. Teamo walau alinikaribisha kwenye mji wake wiki iliyopita.
  10. Ncha

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kumbuka pia Jekinson, yule back up ya full back ya kulia kapelekwa kwa mkopo. Ina maana Chambers ndio cover ya Debuchy, Koschienly na Martesacker. Lazima atashindwa maana majeruhi yatamzidi. Kumuuza Vamerlean bila kumreplace sawasawa ni sheedah. Cha moto tutakiona tu pale tutakapokutana na...
  11. Ncha

    JamiiForums Tanzania Looking for a table tennis table

    game mlimani city, myfair plaza mikocheni au duka moja la michezo liko kisutu karibu na stendi ya zamani along morogoro road
  12. Ncha

    JamiiForums Tanzania Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Huu mradi na kwa gharama yake haupaswi kuwa ni kwa wasio na magari tu, inabidi upunguze foleni kwa ujumla kama tulivyo aminishwa. nafikiri ni ngumu kwani inategemea sana kama kweli watu walio na magari wataamua kupaki magari na kutumia hayo mabasi. Bila hilo kutokea hakuna chochote kitachotokea...
  13. Ncha

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

    Kweli bongo tambarare; Kumtetea ZZK tayari umekuwa mjadala mkubwa kuliko kujadili rasimu!! Tuachekutumia nguuuuvu hoja ambazo sio za msimgi saaaana. hapa ni kama ubishi wa baa tu
  14. Ncha

    JamiiForums Tanzania Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

    RIP Mbundu
Back
Top Bottom