I miss you Paka Jimmy! Where are you?

I miss you Paka Jimmy! Where are you?

Preta nipoo. Nimekukosa saaaaana pia. Habari za huko? name hao uliwataja siku nyingi kuwaona au kuwasikia. Teamo walau alinikaribisha kwenye mji wake wiki iliyopita.
 
Ipo shida sehemu,
au tumwombe Invisible awalime confidential ya kuwashtua kuwa wanahitajika wasiwe wanakaa kimya sana!

Nadhani hili linaweza likawa suluhisho la kudumu kwani wengi hatuwaoni mitaa hii.
 
Last edited by a moderator:
Preta nipoo. Nimekukosa saaaaana pia. Habari za huko? name hao uliwataja siku nyingi kuwaona au kuwasikia. Teamo walau alinikaribisha kwenye mji wake wiki iliyopita.

Aisee........basi na mimi naomba nikukaribishe mjini kwangu kwa heshima na taadhima........tafadhali sema NDIO.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom