Kenge wengi, msafarani
kaka samahani sana kwa kukukwaza.Kwamtoro mbona unatukwaza, hizi sio siasa za chadema na ccm. Tumefiwa na mtu muhimu sana Tanzania ambaye amefanya kazi miaka 41 Maua Seminary yenye wawakilishi Tanzania Nzima kwenye sekta zote. wewe unaleta mizaha ya kwenu usandaweni. Tunakuomba ujiunge nasi kumwombea. tafadhali acha mizaha kwenye hili.
nimepata msg toka Maua kuwa Baba yetu mpendwa sana Mbundu amega dunia alfajiri ya leo huko hospitali ya Kibosho . Wanamaua na wote wenye mapenzi tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele Umpe Ee Bwana