TANZIA Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia

Kwa Sisis wa Zamzni tunamfahamu saana kwani ndio watu/ wasomi wa mwanzo waliopractice ki-private. iLA NATUARLLY ALIKUWA MTU HUMBLE SANA ASIYEPENDAA MEDIA NADHANI NDIO MAANA alikuwa hajulikani saaana wengine tunaijua moaka nyimba yake Mororgoror Road- maeneo ya Kibaha.
All in all ni vema historia engefahamika ( kwa kasi hii) kwa muda mrufu. Kwa tunaomfahamu likitazwa tu Soko La Kariakoo is equal to Beda Amuli ( R.I.P). Na kumbe kuna mengi aliyoyafanya pamoja na Kilimanjaro hotel labda tu nbahati mbya alikuwa chini ya Kampuni. Aidha alihamasisha watu wa kwao wasome na kuanzasha Trust Fund.
Kuna kitu kizuri ulitaka kuandika mkuu,ila kutokana haraka zako umeharibu maana...edit urudi tena.
 
Biography of Beda Jonathan Amuli

Beda Jonathan Amuli is a professional architect (Msanifu Majengo in Kiswahili).

He studied at the Israel Institute of Technology where he obtained a
Bachelor Degree in Architecture in 1964. He enjoys the distinction of being the
first indigenous African from then Tanganyika to obtain a degree in Architecture.

Upon completion of his undergraduate studies at the Israel Institute of Technology,
he joined Zevet International Architect and Engineers of Tel Aviv. That
company had just won a tender to design the Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam
(now Kilimanjaro Hotel Kempinski).

ZEVET sent Beda J. Amuli to work in Dar es Salaam both as its Associate Partner and also as its resident architect. He supervised the construction of the Kilimanjaro Hotel Building. All in all, he worked with ZEVET for 5 years before moving on to practice architecture as a sole proprietor under the name of BJAMULI Architects.

As a sole proprietor of BJAMULI ARCHITECTS, Beda Jonathan Amuli major projects include the Kariakoo Market. Straddling along the Nyamwezi,Mkunguni, Swahili, Sikukuu and Tandamti streets, the Kariakoo Market building was built out of reinforced concrete between 1972 and 1974. Beda Jonathan Amuli also designed the Institute of Finance Management (IFM) building and the NBC Training CollegeIringa (now housing the Ruaha University).
 
Ukiwa mwanasiasa utafahamika haraka sana ila vijana wetu siku hizi wanafaham vizuri wachezaji wa timu za Ulaya kuliko mawaziri wetu.

Vitu vipo vingi kwenye internet lakini tumekazania kuwa - ''followers/friends'' wa celebrities, wanasiasa na wasanii. Tungefanya search kidogo tu ktk internet tungefahamu mengi zaidi ya hayo matatu /manne ''makuu'' ya utumiaji wetu wa mitandao kujibainisha na u-celebrity, uana-siasa, usanii na udini.
 
Pumzika kwa Aman..!!
Nimecheza sana maeneo ya Hotel yake inaitwa Masasi Hotel kule Masasi miaka ya 90.,
daah ukipaona kwa sasa huwezi amini..majengo yamechakaa..kulikuwa na kumbi mbili wa chini na ule wa ghorofani..madansa wa wakati huo Masasi walikuwa akina Kalamula..huku mziki ukipigwa na Jirani Records.
 
Hapana, taarifa yako juu ya kufariki akiwa Sinza si za kweli. Mzee Beda Jonathan Amuli amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
hapa hoja ni kufa na si kafia wapi mi nilijua unakanusha hakufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom