Mchane nyie wanaume wote mwambie kabisa shemeji huo si wanaume bhana siku moja watakuingiza box 🗃 utastukia futa melemele mwana anahemea kichogoni wewe neng,eneka tu
Huyu mpang"ang'''aaa hajasoma anashauri nn mda wote anakaa na mashoga insue ya inchi yetu tanzania ni ya maskini na matajiri
Nani amekuambia hatuna hela nan amekuambia watu hawafanyi kazi
Unajua kazi za shamba wewe huyu shoga si anategemea hela zitoke kwa wasiofanya kazi pidd atakusurport
Shida iko hapa wanaume wa dar watakukatalia alafu nikuongeze kitu hakuna mwanamke mwenye hakili cha kufanya tu oa mzuri upate pumziko ukiwa umetoka kwenye mihangaiko
Hao mbuzi hawanaga watu
mjini haina wenyeji washakufaga wote wageni Wakiwaona nao hawana habari nao so wanapata nafasi ya kuzaliana ukienda jalalani utawakuta wapo tu pale
Mulizeni wako na samia wanafanya nn kwanza?
Vilaza kaeni nyuma tuipambanie nchi japo mnaropoka jamani hatuna mda.wa.kutosha kuwaeleza tukishinda tutawaelekeza najua mtafurahi sana na kugeuka tena kutusifu maana nikawaida yenu napo tutawachukuli poa tu
In short tunajifariji kama ukishindwa kununua NG,ombe za kulimia hii serikali ni ngenge la wagawana hela.
kama Trump anavyo iita Venezuela hili genge bila kutumwa vikosi halitatoka kamwe
akion amenyimwa fedha wanageukana tunaliomba jeshi likamate hawa watu wajabishwe mbele ya mahakama
Hao hawana mwenyewe ni mbuzi pori na wanajua hadi 🦓 hata moro mjini wapo sema wanakula takataka s wazuri kwa nyama ukila tu minyoo ya safra hukawii ndo wabongo wanadhani wamelogwa
Mtawalisha yote nimambo ya biashara unamua nn uongeze ili biashara ichanganye
unae shauri baki na ushamba wako kama unamaturubai na kaeneo tutafte na mtu wa mazingaombwe tupige hela br nitashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.