Ndio mbona Ruzuku tumeshavuta kitambo sana, kwa nyie hamjui, au mlitaka tunavoenda kuchukua tuite na waandishi wa habari ama?[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mgonjwa ulompeleka ni mzungu nini?? kama ni mzungu watakuwa walijua ana hela ndiomama wakamcharge parefu au wakamcharge in dollars instead of Tsh....[emoji3][emoji3]pia hiyo ni hospital ya private..ko wapo kibiashara zaidi, bila pesa hupati huduma..but huduma zao ni nzuri sana
Umenikumbusha siku moja wakati wife ana ujauzito wa kama miezi 8....
Always mm nalalaga ukutani karibu na socket ili nichaj simu yangu huku naitumia....sasa siku hiyo nakuta wife kang'nga'nia kulala karibu na charger, wakati huo simu yake ipo 100% afu mm yangu 2%[emoji23]....tukagombana pale...
Huu uzi umenikumbusha juzi, Tulikuwa pub na dingi mmoja hivi, yeye anamiliki V8, wakati tunaendelea kunywa, akatokea jamaa mmoja akashuka kwenye IST yule dingi akaropoka "Ukiwa unaendesha V8 afu ukamuona mtu anaendesha IST unamuona kama amechanganyikiwa hivi"
...watu tulicheka...
Huyu jamaa anajua sana asee...mwaka juzi nilikuwa nimepanga kuoa, lakini baada ya kusikiliza ile ngoma yake inaitwa "ndoana" ikabidi niahirishe kwanza suala la kuoa[emoji3][emoji3]
Wakuu nimepita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii ajali aliopata mkurugenzi wa halmashauri ya tarime Leo maeneo ya ikungi singida, dereva pamoja na afisa maendeleo wamefariki papo hapo...Mkurugenzi amekimbizwa hospital ila kwa jinsi hii gari ilivoisha najua atakuwa na hali...
babu inamana we huoni hali halisi....mtu unanunua gari 10000usd kodi TRA unalipia 15000usd....hapo bado hujaingia nalo road hujakutana na trafik nao wanataka pesa...enzi za jakaya haya mambo hayakuwepo mkuu, ndiomana nasema ngoja magu atoke kwanza madarakani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.