Recent content by navin bobby

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mdogo wa mke wangu anataka nini kutoka kwangu?

    Unaweza kunionesha paragraph moja au sentence moja ya kingereza ambayo ni broken kwenye post ya huyu bwana na useme alipaswa kuandika vipi Sijaona broken English hapo nimeona tu kachanganya English na kiswahili katika namna ambayo haipendezi Ukisema kingereza chake kina matege maana yake ni...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njia panda, nichague mke au mzazi?

    Wadau, Ukoo upo kwenye vikao na maandalizi ya mwisho kabisa ya kumsafirisha baba yangu mkubwa kuja Dar kwa matibabu zaidi baada ya ugonjwa wake kushindikana katika hospital ya mkoa. Ukoo wamepanga afikie kwangu na mimi ndie nishughulike na masuala ya Muhimbili na hiyo rufaa kwa ujumla, baba...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Kujenga ni kujinyima tu mkuu na sio utajiri, gharama za kuendesha mji ambao watu wanapishana daily gharama zake ni kubwa, ukijumlisha per annum ni pakubwa sana
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Gharama ya maisha dar ipo juu, ukiendekeza watu hufiki kokote
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Rudi upange chumba na sebule, nyumba pangisha
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro, Yanga Haina Fedha Anazo Manji

    Kwanza manji dalali tu yule
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

    Huyu binti ni hatari
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rwanda wampongeza Magufuli

    Safi sana
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alisema ana mpenzi wake nje ya nchi,sasa anataka nimuoe

    Oa mfamasia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Gaddafi anasema Libya imekuwa gofu na inanyanyasika baada ya uvamizi wa NATO

    Nato haijawahi kuivamia libya, enforcement of a no fly zone is not an invasion, ghadafi aliondolewa na watu wake mwenyewe baada ya kuchoka utawala wa mtu mmoja, Madai ya kwamba walibya waliishi kama wako peponi chini ya gadafi ni exaggeration, ghadafi aliwajali watu wa ukoo wake tu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Enzi za "The Man Dog of The Middle East-Muammar Gaddafi

    Hiyo ndio gharama ya ukombozi, wamekombolewa ipo siku itatulia na kuwa na amani, hivyo vyote ulivyovitaja sio raia wote walivipata, ni kundi la ukoo wa ghadafi ndio walifaidika Nchi za kiarabu tunaposema neno ukoo, lina maana pana sana, uarabuni mkoa mzima kama wa pwani mnaweza kuwa wa ukoo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

    Mm nimetoa first hand experience, nimeishi kwa miezi 3 mwaka 2011 nilienda kwa program ya UNFPA, hivyo mengi ya aliyosema mleta mada niliyaona, wageni wote tuishio mitaani lazima asubuhi na jioni tulipoti kwa serikali ya mtaa, achin num Sijawahi kuzipenda nchi za magharibi, lakini siwezi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

    Mm nilikwenda huko 2011 na shirika la UNFPA kama volunteer, tulipata visa Sweden ambako ndio kulikua na diplomatic mission, then tukaenda kuondokea china kwenda huko Currency yao inaitwa won, na kiongozi msaidizi wa chama alikua kim yong nam wakati huo, ila mwenyekiti wa chama raidi wa nchi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

    Hivi huu ugonjwa wa kusingizia kila kitu kuwa ni western propaganda umetoka wapi? Hivi CCTV ya china ni media ya western? Maana kwa macho yangu nimeona makala kwenye cctv ikieleza haya yote yaliyoelezwa na mtoa mada Hakuna siri juu ya haya yote, yapo wazi, wakati kim jong il baba anafariki...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Marekani Kutuma Ndege za Nyukilia Korea Kusini

    Very good
Back
Top Bottom