Hivi like kiji seal pamoja na Ile brand rivon kuzunguka chupa kipi kinaathari? Binafsi naona seal ni ndogo hivyo ingeachwa tu na ribon ndio ingetolewa wakatafuta namna ya label chupa bila zile nylon
Mimi sikuwahi kumpenda Hayati Magu...lakin kwenye ishu ya korona alifanya kitu kikubwa sana kwa watz nilimuelewa navkika mwenye kuona atambue kua chanjo ya korona ni hatari kuliko tunavyofikiri...ingekua sii agenda ya maana kwao believe me Magu angelikua hai...wameshaweka watu wao tayari...
Hivi alichokisema spika mbona kina mantinki au ni Mimi ndio sielewi mbona na Kama Mimi sielewi basi yawezekana Mimi ni mjinga sana au watanzania wengi na viongozi ni wajinga hakuna mfano. Kiukweli huwezi endesha nchi kimadeni madeni mtu anayekopa sana ni mvivu wa kufikiri... Kwakua hela ya mkopo...
Hivi unadhani CCM Wana akili? Wanahisi hili linawafaisha wapinzani mwenye macho haambiwi tazama. saivi dunia imakua rahisi unaweza ishi nchi yoyote Ile usiogope
Mimi nafikiri tulekebishe Sheria zetu sio kila kosa mtu aende jela tuwape kazi za kijamii kwenye miradi ili kupunguza gharama kwa serikali ya kuwatunza na kulipa vibarua kwenye miradi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.