Mkuu watu wa aina yako na wale ambao hufananishwa mtume Tomaso, ambaye licha ya kupata habari kutoka vyanzo vya uhakika lakini hakutaka kuamini. Huwezi kujali na unaweza kubeza kuhusu ukiukwaji mkubwa wa matendo ya kiutu na kidemokrasia kwa kuwa ni jambo ambalo pengine halijawahi kabisa kukugusa moja kwa moja ama kwa kupitia njia nyingine katika maisha yako.CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Hiyo ndiyo kazi ya Dola, ukijifanya unajuwa sana wanaingia kwenye faili lako wana re activateKiburi ndio kimemuweka ndani na sio ugaidi?
None senseCHADEMA kitabaki kuwa genge la mhuni Mbowe anayetumia fedha kujijenga kwa mamluki wachache kwa njia mbalimbali kama kushinda mitandaoni. CHADEMA ingekuwa na support ya watanzania kwa kiasi fulani tu kinachoeleweka ingechukua nchi.
Lakini uroho wa madaraka wa Mbowe hauwezi kuipa ushindi CHADEMA, aidha wa kura au mioyo ya watanzania.
Ukiangalia historia ya CHADEMA imejengwa na two pillars;
Sasa baada ya CHADEMA hasa Mbowe kushawishiwa na kununuliwa na fisadi Lowasa, wakazitupa hizo sera zinazogusa mass, kwa tamaa ya kuingia ikulu. Kumbuka walivyodanganywa na Lowasa kuwa eti suala la kura wamuachie yeye, ila ana uhakika wanaingia ikulu.
- Imani (trust) ya watanzania kwa baadhi ya watu walioiongoza CHADEMA. Ukiangalia historia Mbowe kagombea urais mara mbili akaishia kupata kura asilimia 0. au chini ya 2! CHADEMA kilipata umaarufu kupitia viongozi wengine kama Zitto lakini kwa kiasi kikubwa sana Dr Slaa. Huyu watu walimtrust wengi na hivyo kuisupport CHADEMA. Lakini cha ziada alichofanya Dr Slaa ni kujenga mifumo ya CHADEMA na kutojijenga yeye binafsi. Ndiyo mana kwenye mgogoro uliopelekea kuondoka CHADEMA aliondoka peke yake bila kutaka kukibomoa chama, lkn leo hii Mbowe huwezi mtoa sababu kajijenga binafsi na kapanga watu wanaomtumikia yeye na siyo chama. Vilevile sababu Dr Slaa aliamini katika kujenga mifumo ndiyo sababu mojawapo iliyofanya CHADEMA ipate angalau kura ilizozipata kwenye uchaguzi wa 2015 na siyo kwamba Lowasa ndiyo alichangia sana kama ambavyo wanadanganya umma.
- Chuki iliyopitiliza ya watanzania kwa viongozi na serikali ya CCM ya wakati ule. Ni kweli kweli kwamba viongozi na serikali walikuwa mbali na watanzania sababu walishindwa kutatua kero sugu za watanzania. Rushwa zavwaziwazi, ufisadi, kupeana vyeo kindugu, huduma mbovu za jamii kama afya na elimu, bei za vitu kuwa juu, ukosefu wa ajira, ujambazi uliokithiri, uporaji na utapeli wa wazi mfano watu kuporwa nyumba ilikuwa jambo la kawaida, ubovu wa miundombinu kama barabara na umeme, nk. Kwa kuwabserikali ilionekana dhahiri kushindwa kutatua kero na kukosa dhamira yabwazi, wananchi waliichukia na kiurahisi kugeukia upinzani kupata faraja. Na ukikumbuka vizuri hizi ndiyo zilikuwa sera za upinzani zilizoibeba sana kwa sababu ziligusa mahitaji ya watu(maanake walio wengi).
Baada ya hapo CHADEMA ilibadilika na kukomaa kuwa chama cha ‘kihuni’. Angalia tu hata hapa JF manazi wengi wa CHADEMA ni ‘wahuni’ wanaoamini kwenye kutukana matusi na kudhalilisha kama njia ya kuzima hoja zenye nguvu. Uhuni wa CHADEMA unadhihirika maeneo mengi;
- Kuminya demokrasia ndani ya chama. Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwenye chama cha ‘kidemokrasia’. Kiongozi anayetakiwa na Mbowe ndiye anayepitishwa kugombea iwe kwenye baraza la wanawake, vijana au kokote. Kumbuka ubabe wa bila majadiliano wa kulazimisha wabunge kutohudhuria bunge sababu ya COVID 19.
- Kufanya vitendo vya kihuni kisiri na kusingizia ni serikali ilimkuipaka matope. Hata mabomu ya Arusha inaaminika na wengi ni mpango wa wachache CHADEMA, vinginevyo mwambieni Mbowe atoe mkanda wa video uliorekodi tukio zima! Kumbuka wakati wa uchaguzi wa 2020 ofisi za CHADEMA zilikuwa zinatolewa kwanza documents muhimu alafu ndiyo zinachomwa! Au ule uhuninwa kuchapa karatasi feki za kura Dsm na kutangaza tumekamata kura za kughushi za CCM! Wanaita waandihi wa habari, wanawaonyesha kwa mbali hizo kura na kisha wanaenda kuzichoma kisiri. Walijua wakiziacha watu waziangalie kiundani itajulikana wamefoji sababu zilikuwa tofauti. Lakini kilele cha uhuni na kuumbuka ni kesi ya Mbowe ya ugaidi. Hii ndiyo imedhihirisha wazi CHADEMA ilikuwa inatumia mbinu gani katika maisha yake hasa baada ya kuishiwa sera kuanzia 2015 na Magufuli kuwa karibu na wananchi kwa kutatua kwa kasi na kuonyesha nia thabiti ya kuendelea kutatua kero za wananch.
CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Ahsante kwa kuliona hilo mkuu greenwoods.Hii comment inatakiwa iwekwe kwenye frame.
Mtaongea sana lakini ukweli ni kwamba wanasiasa wapinzani wa nchi hii, bado hamjaweza kufanya siasa za kuweza kukidhi matakwa ya wapiga kura wa nchi hii.Mkuu watu wa aina yako na wale ambao hufananishwa mtume Tomaso, ambaye licha ya kupata habari kutoka vyanzo vya uhakika lakini hakutaka kuamini. Huwezi kujali na unaweza kubeza kuhusu ukiukwaji mkubwa wa matendo ya kiutu na kidemokrasia kwa kuwa ni jambo ambalo pengine halijawahi kabisa kukugusa moja kwa moja ama kwa kupitia njia nyingine katika maisha yako.
Hii labda linatokana na ukweli ya kuwa pengine huna ndugu, jamaa, rafiki ama hata jirani wa karibu aliyepita katika madhila, adha, taabu, udhalimu ufedhuli, dhuluma na mateso makubwa, vyote vikifanywa chini ya baraka za watawala dhidi ya hujuma kwa wapinzani. Yote yalifanyika hali watawala wakijua ni ukiukwaji mkubwa wa katiba, sheria na kanuni za uendeshaji wa shughuli za kisiasa kwa kila chama chenye usajiri wa kudumu.
Lakini watawala hawawezi kujificha katika hili, ni uoga wao tu wa kupoteza dola, kwa kuwa kihoja na kifikra wao ni muflisi. Hawana mvuto tena zaidi kufanya wizi wa kura na kutumia vibaya vyombo vya dola ili wazidi kubakia madarakani, na hii ndiyo njia sahihi iliyobaki kwao ya kuweza kuuthibiti upinzani.
Short and clearly, ni kwamba Tanzania hatujastaarabika hata kuweza kutembelea kwenye prescriptions tulizojiandikia wenyewe!. Si wapinzani, si watawala hata wasio na mafungamano ya itikadi za kisiasa. Ndo maana kwenye jamii kuna vigeugeu wengi.CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Hapo nimekosea, ni Green Guards wa CCM na kote wanatambulika kwa uhuni wao hasa nyakati za uchaguzi, hili halina sababu ya kubishana, na kuendelea kuita nyumbu kwa hoja zako za kitoto.Unazidi kujichanganya, unaandika lakini hujui wala huna uhakika na unachokiandika.
Red brigade ni moja ya makundi yaliyokuwa yakitumika na chadema katika shughuli zake za kisiasa nchini kabla ya serikali kuwapiga marufuku ikiwemo pia Green guard ya CCM.
Sasa wewe unaekataa unyumbu kwa nini usivae ubinadamu na ukalielewa hilo.
Kwa hiyo una maanisha Red brigade ya chadema walishiriki kuiba kura.
Hata kina Adamoo wangetumika kwa majukumu mengine, lazima wangetambulishwa kwa mgongo wa kumlinda mwenyekiti.
Sijui kwa maadui wapi hao kiasi cha kumfanya mwenyekiti wa chama cha siasa kulindwa na X-comandos?
Mbona wasimlinde siku ile anaporomoka kwenye ngazi?